Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Finally unakubali the manager is not only the main problem
Ndio mkuu baada ya kufikiria sana

Angalia watu waliosajiliwa OT baada ya fergie

Fellaini,,,Morgan Schernalin,,,Darmian,,Blind,,Rojo,,Di maria,,Depay,,Martial,,,Fosu mensah,,,Shaw,,Mata,,,Pogba,,,Bailly,,,Lindelof,,,Lukaku,,,Sanchez,,,Matic

Wote hao ukiwatoa wachache hapo ambao hawazidi wawili,waliobaki wote ni bang average..Hakuna tuliyemsajili akadeliver as tulivyoexpect

Fergie alimleta tu RVP na ligi akatupa,,nini kimetupata kwenye swala la usajili??
 
Hio paragraph ya kwanza unasema mafanikio ya Mou ni madogo hayaendani na ukubwa wa timu yenu hichi ndicho kinawamaliza nyinyi timu yenu imebaki kimapato tu nje ya uwanja! Ukitaka kuamini hilo chukua front trio yenu linganisha na timu yoyote top 6 pale Epl
Sasa kweli mkuu Man united ni ya kutembea kifua mbele kisa umekuwa mtu wa pili kwenye ligi??..huku ukiwa umeachwa point kibao tu na bingwa??
 
Mchezaji wa zamani wa Manchester United na Sky Sports aliyepanda Gary Neville amevunja kabisa timu yake ya zamani kwa uchezaji wa Ijumaa kuhusu hali ya kazi ya meneja Jose Mourinho, ambaye amesema kuwa atafukuzwa bila kujali matokeo dhidi ya Newcastle Jumamosi. Neville alimshtaki Manchester United ya "kucheza Meneja wa Soka na klabu kubwa duniani," akizungumzia mchezo maarufu wa video.
"Ikiwa hii ni kweli na imevunja siku kabla ya kutokea na atapaswa kutumiwa mwishoni mwa wiki, ni aibu kabisa," Neville alisema juu ya Sky Sports. "Ambapo ni maadili na kanuni za Manchester United kama hii ni kweli?"
Neville alilia moyo mkakati wa usimamizi - au ukosefu wake - tangu kustaafu kwa Sir Alex Ferguson.
"Mwisho wa siku, hii imekuwa ikiendelea kwa miaka mitano au sita," alisema. "Jose Mourinho ni mmojawapo wa mameneja bora duniani na nadhani wakati huu wakati mwingine meneja yeyote duniani angejitahidi katika klabu hiyo ya mpira wa miguu na njia ambayo ajira hutumiwa, njia ambayo hutumika."
Hatimaye, kwa Neville, wakati matokeo juu ya lami hazikutazama silverware klabu ya tamaa, kushindwa kwa muda mrefu kutosha kwamba lawama iko juu.
"Katika wakati huu kwa wakati kuna kitu kilichooza kwa msingi katika maamuzi yaliyofanywa katika miaka minne au mitano iliyopita na lazima iwe kutoka juu," Neville alisema. "Ikiwa ninaajiri mtu chini yangu na yeye hushindwa, hatimaye ninahitaji kuchukua jukumu. Ninahitaji kusimama na kusema 'Mimi sio nzuri ya kufanya hii'. Watu katika chumba cha bodi ambao wanasimamia kazi ya mpira wa miguu hawana mahali karibu na kutosha. Hawana sifa. Wanacheza Meneja wa Kandanda na klabu kubwa duniani.
Umeweka google translator..inatema pumba tu
 
Wachawi wa mourinho ni fellain,Sanchez,Valencia na Lindelof.
 
Hii weekend kama ni ku bet;

Newcastle
Arsenal
Chelsea
Manchester city

Wewe Ninakuona Kwenye Soccer unaanza Kupoteza mwelekeo Kwa Kasi... Zamani Ulikuwa Mchambuzi No Biase.. Lakini Sikuhizi Umekuwa Mshabiki Mnazi Mpaka palipo na Ukweli umekuwa Blinded.

Unaanza Kufeli Leo, Na Kesho pia utafeli.

Trust me.
 
Duh aiseeeh...
1538816785986.jpg
 
Wewe Ninakuona Kwenye Soccer unaanza Kupoteza mwelekeo Kwa Kasi... Zamani Ulikuwa Mchambuzi No Biase.. Lakini Sikuhizi Umekuwa Mshabiki Mnazi hana palipo na Ukweli umekuwa Blinded.

Unaanza Kufeli Leo, Na Kesho pia utafeli.

Trust me.
Mkuu kuna nyakati za uchambuzi na nyakati za kuwa mshabiki wa Chelsea. Kama kwenye sakata la Muo na Pogba huwezi nikuta ninaandika ushabiki labda nitamke mapema.

Muda kama huu (na kesho mida ya saa tatu kasoro usiku) nitakuwa mshabiki wa Chelsea.

Naomba kuwasilisha kwa kumbukumbu zako.
 
“Wachezaji wanaongoza mapambano dhidi ya kocha, mkia unamuongoza mbwa katika klabu hii ya mpira. - Ipo wapi heshima ya klabu? Tunahitaji uongozi imara na thabiti.
:
“Kumdharau Jose na maono yake juu ya wachezaji wanaohitajika lilikuwa kosa kubwa. Nani katika klabu ya Manchester United ana sifa na ujuzi wa kumzidi Jose Mourinho kwenye kufundisha soka? Nani maenye sifa ya kumwambia Jose kwamba Toby Alderweireld, Harry Maguire au Boateng hawana uwezo kuliko mabeki wa kati wa sasa wa Manchester United.???” - Gary Neville kuhusu bodi ya Manchester United kumfelisha Mourinho na kuwapa nguvu wachezaji kuliko mwalimu.
 
Unamtetea Mou sijui kakupa nini kikubwa Pira lake bovu hajawahi kunifurahisha kokote alipokuwa kuanzia Inter, Chelsea , Madrid na sasa ManU

Sivutiwi kabisa na mpira wake anawajaza frustration wachezaji wanakuwa hawajiamini uwanjani

We umeiona Sarriball inayochezwa Chelsea ? Sarri amewaambia wajiamini wachezaji wake wacheze wanavyotaka wawe huru
 
Ukiwa unasoma post soma vizur hayo maneno ya neville halafu una complain nini? Umewahi kujiuliza kwa nini makocha wawili walifeli? Na wapofukuzwa timu imewahi kubadilika? Mimi sifuati mkumbo watu wanasemaje naangalia kiini cha tatizo na mwenendo wa timu.

“Jose Mourinho ni mmoja wa makocha bora duniani kwa sasa, na naamini kocha yoyote duniani angepata taabu kuiendesha Manchester United ya sasa - kwa namna usajili unavyofanyika, namna inavyoendeshwa kiujumla. Vitu vinatakiwa kubadilika na sio kocha, ni wale wa juu yake.
:
Inapotokea wanakuja makocha watatu wakubwa katika kipindi cha miaka 6 na wote wakaonekana hawafai lazima kuangalia wale wanaowateua hao makocha. Watu ambao ndio wana mamlaka ya mwisho kuhusu usajili, wanaoamua nani asajiliwe, nani alipwe nini! Hawa ndio wanapaswa kubadilishwa na kubeba lawama za maamuzi yao.” - Gary Neville kuhusu hatari ya Jose Mourinho kufukuzwa.
:
:
 
Back
Top Bottom