Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Chelsea walichezesha viungo 3(Kante,Cesc,Bakayoko) kwa mara ya kwanza na kuuwa winga ndio maana Pedro/Willian hawakuanza while United walichezesha 2 (Matic,Herrera) so automatically iliwapa advantage.Bakayoko ameonekana anapanda sababu Kante alifanya kazi kubwa otherwise ni mchezaji wa kawaida na jana sikuona special alichofanya zaidi ya kukosa magoli ya wazi sidhani kama kuna mechi nyingine ambayo amewahi kuonekana anapanda.Mpira wa jana ulikua umetawaliwa na mbinu na kujituma kwa wachezaji.
Chelsea walijituma sn kuliko Utd ndio maana unaweza kuona waliwazidi kila kitu.
Na kila mlipofanya sub ya kuongeza mashambulizi Conte alifanya sub ya kuongeza ulinzi Rejea kuingia kwa Rudiger na Drinkwater kisha Willian. Hii iliwafanya Utd pamoja na mabadiliko walofanya hayakuwasaidia kitu zaidi ya kuwin two chances moja ya Fella iliyokua saved na Courtois na ingine ya Rashford iliyopita chini ya nguzo ikatoka nje huku Chelsea wakikosa counter moja hatari sn Kwa Morota kukosa goli la wazi.
Matic na Herrera ni viungo wa kawaida sn sema jana walizidiwa na hawawezi kuhimili viungo wa Chelsea wakiwa on form. Bakayoko uwanja mzima ulikua wake Faby alkadhalika huku Kante akimpoteza kabisa Mkhitaryan na pongezi nyingi sn ziwaendee wingsback wa Chelsea kila Mara walikua ndani ya box la Utd wakitaka kuleta mazara huku Young na Valencia wakishindwa kupeleka mipira na kusababisha Jones na Herrera na Bailey na Magic kulambwa kadi za njano kwa kumchezea rafu Hazard.
Mpk Jana Conte amedhihirisha kua yeye ni fundi kuliko Mourinho
Conte alikuwa fundi against Mourinho last season aliposhinda 4-0 but sio jana