Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

a2bf5eaaa10ff7edd458322956966e86.jpg

cf7d315706817271e283a812994feae0.jpg

yani hapa mourinho kachemka sana anafaham mkhitaryan ktk gem 6 hakuwa na madhara kwa nn usimweke mata no. 10?
 
Kweli kabisa sijui anafikiria nini Mourinho, Mata yuko poa sana huyu Mik pumzi imekata..

scholes kabla ya mech hii alishaongea hamuoni tena kama mkhi anaweza kukamilisha majukum yake vizur lakin bado kampa namba bora arudishiwe namba yake mata tu wakat mkhi anajichaj
 
Mourinho is a shity manager. anaweza harbu mpira na atmosphere nzima ya timu mambo yake yakimpanda kichwani.lakini pia wachezaji wa kingereza wanawacost Sana mwkocha Epl. Ni lazima upange waingerza si chini ya wanne na ni sheria.watoto Kama lingard,watu Kama Smalling,watu Kama handerson Hawa wanacost Sana timu Ila huna namna Kila siku utawakuta kwenye mechi.
 
Hii sheria labda umeitunga wewe,game ya juzi kikosi cha Chelsea mwingereza alikuwa Cahill peke yake
 
Sawa lkn waingereza wawepo ktk team sio team iwe haina muingereza ata mmoja haitakiwi
Hakuna sheria inayosema lazima timu iwe na mchezaji wa kiingereza,sheria inasema lazima timu ziwe na 8 homegown players

Home-grown players- wachezaji waliopita kwenye academy za klabu za England/waliosajiliwa kabla hawajavuka miaka 16 hata kama sio raia wa England ndio maana wachezaji kama Bellerin,Pogba,Fabregas,Coquelin,Ihenacho,Lukaku sio waingereza lakini wanafit kigezo cha "homegrown players "
 
Back
Top Bottom