bila ya shaka umeanza kuangalia EPL msimu ama la unataka kuhamisha mada ya kufungwa na mbinu mbovu za Mourinho kupeleka kwenye comparison za wachezaji.
Eden Hazard ameisaidia Chelsea kuchukuwa EPL mara mbili,Europa League moja na Capital one Cup moja katika misimu mitano aliyokaa Chelsea so far.
Pia amechukuwa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa EPL mara moja na amechukuwa tuzo ya mchezaji bora wa EPL mara moja.
Naomba unambie kuhusu hao watu wako unaosema wanamzidi uwezo kabla sijaenda kwenye magoli,assits,take ons,dribbles,chances created na sector zengine.