Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watu wanachukua vikombe nyie mnachukua vinu... yani badala uchukue UEFA ya wakubwa wenzio unaenda kuchukua Europa ya wachovu.. kama we bora kweli kachukue kombe analoshiriki Barca, Bayern na Madrid...

Kombe ni UEFA na ligi kuu mengine uchafu
ni kweli hata kombe moja hatujachukua
 
Waache chura wapige kelele lkn tembo Hazard atakunywa tu maji.

Wanalinganisha mauza uza na na Fundi Hazard?

Wakamuulize Herrera usiku wa jana km kalala bila viatu
Fundi asingekuwa bado anacheza Chelsea mpaka sasa.
 
Tatizo lako unajikanyaga kanyaga tu naona sasa umeenda kwa akina Messi na Ronaldo kwani nani alisema Hazard yupo level hizo?
Kwahiyo mchezaji asipofikia level za Messi na Ronaldo sio mchezaji mkubwa?
mbona unazidi kudhihirisha jinsi gani we ni mwehu?
ulianza kusema Hazard yupo level sawa na Martial na Rashford nilivyokubana ukahamia Hazard kazidiwa na KDB na Silva nikakupa mafanikio ya Hazard kwa timu yake na binafsi akiwa EPL nikakwambia nipe hayo mafanikio ya hao unaosema wamemzidi ndani ya EPL katika nafasi yake unaanza kumtaja neymar hizo kama sio bangi za chooni ni nini?

yaelekea hayo mabangi mnavuta chooni wewe na familia yako sasa kwa akili zako unafikir wote wanafanya hayo toka mwanzo ushaambiwa hazard ni mchezaj wa kawaida sana statistics zipo pale epl kila leo zinatoka hapenyi kwa kdb,silva na eriksen hao hakuna msimu wamecheza chini ya kiwango unatuambia huyo hazard msimu mmoja yupo vizur ujao haonekan tupe takwimu za misimu 3 akiwa kwenye form walau katoa assist 10 au 7 mfululizo hamna unabak kuorodhesha ma ueropa ambayo hata tuanzebe kabeba
 
sio utindio wa ubongo tu mkuu na bangi za kuvuta chooni huwa zinasababisha mtu aongee ujinga wa level za PhD kama alizoongea huyo anaemfananisha Hazard na hao kima wake.

jukwaani kwako tu unafarakana na mashabik wenzio wa timu moja sasa sisi tutakuweza wacha tukupotezee
 
Watu wanachukua vikombe nyie mnachukua vinu... yani badala uchukue UEFA ya wakubwa wenzio unaenda kuchukua Europa ya wachovu.. kama we bora kweli kachukue kombe analoshiriki Barca, Bayern na Madrid...

Kombe ni UEFA na ligi kuu mengine uchafu
wewe uefa unazo ngapi?

last game ya uefa umeshinda goal ngapi?
 
525e3faeaaf893764f62712bc88f5306.jpg
574c3fe70124735660387c1231bff320.jpg
0f37292dbc8eb3a20f4a3f29e4f87216.jpg
 
Approach ya mechi ilikuwa right na kipindi cha kwanza timu ilicheza vizuri ingawa Chelsea walikuwa na advantage ya kuwa na wachezaji 3 katikati na kurudi kwa Kante kuliwasaidia sana while tulikuwa na viungo 2 na kwa mtazamo wangu Matic na Herrera walicheza vizuri tatizo kubwa again lilikuwa ni Mikhtaryan utafikiri timu ilikuwa inacheza pungufu i believe kama Pereira angebaki lazima angempiga benchi kwa sasa

Baada ya kuingia Fellain timu ikaweza kudominate kati kutokuwa na match fitness Fellain alipoteza mipira 2 ambayo ingetucost kama Chelsea wangekuwa makini

Defence licha ya kucheza vizuri walifanya kosa kubwa wakamsahau Morata akapiga kichwa akiwa free.I hope Pogba arudi mapema na hatutakuwa na majeruhi December ambacho ni kipindi muhimu kukusanya point
 
yaelekea hayo mabangi mnavuta chooni wewe na familia yako sasa kwa akili zako unafikir wote wanafanya hayo toka mwanzo ushaambiwa hazard ni mchezaj wa kawaida sana statistics zipo pale epl kila leo zinatoka hapenyi kwa kdb,silva na eriksen hao hakuna msimu wamecheza chini ya kiwango unatuambia huyo hazard msimu mmoja yupo vizur ujao haonekan tupe takwimu za misimu 3 akiwa kwenye form walau katoa assist 10 au 7 mfululizo hamna unabak kuorodhesha ma ueropa ambayo hata tuanzebe kabeba
Madrid walikua wanamuhitaji kilaza???
 
Madrid walikua wanamuhitaji kilaza???

ilikuwa official toka madrid? na walileta offer yao mezan kama barcelona kwa coutinho au perez kwa de gea? achana na mawakala mchezaj wenu anapenda sana kwenda kule.
 
Madrid walikua wanamuhitaji kilaza???

halafu kwa nini mnapenda kugeuza mada nani kasema kilaza? jaman jaribun kuwa makin msiwe mnajiongezea vi maneno kama mwenzio yule ni mchezaj mzur ila wa kawaida tu sio kilaza
 
mkuu mashabiki wengi wa chelsea ni majeruhi wa arsenal na liva hawajui mpira

wengi wana mihemko
 
Jana hatukuwa vizuri kabisa
Timu imefungwa nyumbani na Crystal Palace tunaenda kucheza nayo mpira wa hofu si maajabu haya😀😀😀

Tuna kocha mwepesi sana, kama ukitaka kujua angalia hata michezo tuliyoshinda tumeshinda vipi..

Ngoja tumsubiri Pogba labda ndio tatizo!
 
Approach ya mechi ilikuwa right na kipindi cha kwanza timu ilicheza vizuri ingawa Chelsea walikuwa na advantage ya kuwa na wachezaji 3 katikati na kurudi kwa Kante kuliwasaidia sana while tulikuwa na viungo 2 na kwa mtazamo wangu Matic na Herrera walicheza vizuri tatizo kubwa again lilikuwa ni Mikhtaryan utafikiri timu ilikuwa inacheza pungufu i believe kama Pereira angebaki lazima angempiga benchi kwa sasa

Baada ya kuingia Fellain timu ikaweza kudominate kati kutokuwa na match fitness Fellain alipoteza mipira 2 ambayo ingetucost kama Chelsea wangekuwa makini

Defence licha ya kucheza vizuri walifanya kosa kubwa wakamsahau Morata akapiga kichwa akiwa free.I hope Pogba arudi mapema na hatutakuwa na majeruhi December ambacho ni kipindi muhimu kukusanya point
Mpira wa jana ulikua umetawaliwa na mbinu na kujituma kwa wachezaji.

Chelsea walijituma sn kuliko Utd ndio maana unaweza kuona waliwazidi kila kitu.

Na kila mlipofanya sub ya kuongeza mashambulizi Conte alifanya sub ya kuongeza ulinzi Rejea kuingia kwa Rudiger na Drinkwater kisha Willian. Hii iliwafanya Utd pamoja na mabadiliko walofanya hayakuwasaidia kitu zaidi ya kuwin two chances moja ya Fella iliyokua saved na Courtois na ingine ya Rashford iliyopita chini ya nguzo ikatoka nje huku Chelsea wakikosa counter moja hatari sn Kwa Morota kukosa goli la wazi.

Matic na Herrera ni viungo wa kawaida sn sema jana walizidiwa na hawawezi kuhimili viungo wa Chelsea wakiwa on form. Bakayoko uwanja mzima ulikua wake Faby alkadhalika huku Kante akimpoteza kabisa Mkhitaryan na pongezi nyingi sn ziwaendee wingsback wa Chelsea kila Mara walikua ndani ya box la Utd wakitaka kuleta mazara huku Young na Valencia wakishindwa kupeleka mipira na kusababisha Jones na Herrera na Bailey na Magic kulambwa kadi za njano kwa kumchezea rafu Hazard.

Mpk Jana Conte amedhihirisha kua yeye ni fundi kuliko Mourinho
 
Approach ya mechi ilikuwa right na kipindi cha kwanza timu ilicheza vizuri ingawa Chelsea walikuwa na advantage ya kuwa na wachezaji 3 katikati na kurudi kwa Kante kuliwasaidia sana while tulikuwa na viungo 2 na kwa mtazamo wangu Matic na Herrera walicheza vizuri tatizo kubwa again lilikuwa ni Mikhtaryan utafikiri timu ilikuwa inacheza pungufu i believe kama Pereira angebaki lazima angempiga benchi kwa sasa

Baada ya kuingia Fellain timu ikaweza kudominate kati kutokuwa na match fitness Fellain alipoteza mipira 2 ambayo ingetucost kama Chelsea wangekuwa makini

Defence licha ya kucheza vizuri walifanya kosa kubwa wakamsahau Morata akapiga kichwa akiwa free.I hope Pogba arudi mapema na hatutakuwa na majeruhi December ambacho ni kipindi muhimu kukusanya point
Kitu kingine Utd mlishindwa kudhibiti Chelsea wasipige passes nyingi unaweza kuona ni namna gani Hazard na Morata na Faby na Alonso na Bakayoko na Zappacosta walivo kua linked ktk utoleanaji wa pass na Faby ndo alitoa passes nyingi za hatari kila Mara ziliwavuka mabeki wa Utd na kuleta madhara huku team ya Utd iki fail ktk hilo. Mana Kante alikata nyendo zote
 
Back
Top Bottom