Au watasema kwasababu Kane hakuwepo?Wapo wale wenye nyonyo ngumu kama chuma watasema tumecheza na timu ndogo.
Mie nafikiri lukaku yuko poa na ile ndio style yake sema unamuona kapwaya kidogo ni kwasababu feeders hazikuwepo nyuma yake.Game ya leo back four ilikua kazini, Young leo kajitoa sana, ila Lukaku inabidi ajiongeze kidogo ndio hatuna mid nzuri kwa sasa ila leo alikuwa mzito sana.
Young anaweza kuitwa timu ya taifa sasa, kiwango alichoonyesha ni kizuri sana. Pamoja na kutoonekana sana, Lukaku kafanya mambo matatu ya kumkumbuka LeoGame ya leo back four ilikua kazini, Young leo kajitoa sana, ila Lukaku inabidi ajiongeze kidogo ndio hatuna mid nzuri kwa sasa ila leo alikuwa mzito sana.
Kapaki halina ubishi hilo mashut mawili 2 mpk halftime ! Unataka kusema anashambulia ?
Lazima nikuelimishe. Mechi kubwa sina mbinu zake.Tatizo tangu mjue neno kupaki basi mnafikiri kila mahali mnaweza kulitumia.Ni si lazima "un-quote".
Au unafikiri Mimi sio shabiki united..?
Big match Jose muoga sana..huwa ni muumini sana wa mfumo wa kujilinda katika big Match kisha washambuliaji wanaonekana garasa.
Wala si suala la kuona fahari.Kama watu wengi wanapinga unachofanya kwanini uendelee?jitafakariMbona mbando kabisa. Leo nitabandika kibaoooo
Ni kama ilivyo kwa maiti ya kiswahili huwa haikosekani sababu utasikia "yule bibi mwenye macho mekundu kesha fanya yake "almuhimu tatu kibindoni tunasonga maana vinginevyo gape lingekuwa kubwa sana na majirani zetu. Palikuwa hakuna namna ya kuzichukua pwenti hizi ila kwa mtindo huu wa sucker punch.Au watasema kwasababu Kane hakuwepo?
Nielekeze na mimi jinsi ya kuignore mkuuUmeongea point mkuu
Mimi nishamweka IGNORE LIST yule mtu baada ya kuelekezwa now siyaoni mapicha yake na sitegemei kumuongelea tena