Teh teh teh na mbandomkuu Rutta ongeza dozi mgonjwa anaendelea kupona
Na wataongeza Kane hakuwepo,cjui akifa itakuwaje!!!Wapo wale wenye nyonyo ngumu kama chuma watasema tumecheza na timu ndogo.
Naona umeamka na picha zako sasa hizi za nn na huku mechi imeisha au unajaza tu uzi humu ndani..??
Wakumbushe vizuri naona hawana kumbukumbu!Mzee baba ongeza mapicha picha....binaadamu wanafiki sana kuna kipindi RUTASHUBANYUMA alihamia katika uzi wa Likes humu watu wakaanza kusema mara uzi upo kimya nk..
Hayo mapicha picha ndiyo aina ya mchango wake kama wengine kazi yao kuqoute matusi tu nk
tulia tu mkuu jamaa apulizie dawa za wadudu waongeao na wakurupukaoNaona umeamka na picha zako sasa hizi za nn na huku mechi imeisha au unajaza tu uzi humu ndani..??
Ndio binadamu hao akikuchukia hata kama unakoga baharini watasema unawatimulia vumbi.Au watasema kwasababu Kane hakuwepo?
Kuna wengine hawana khabari na haya mafanikioMkuu Ruta naona unatupasha kinachoendelea.. 😀😀😀😀😀
ha ha ha thread itapoaKwa leo dozi inatosha. Keshooooooooooooo ni mengine
️
️Shukran kwa kutupongeza na pia kwa maoni yako.Hongera kwenu majirani kwa kujinyakulia points tatu muhimu,ingawa kiwango chenu bado si kizuri sana..!
Huyu bwana ndo zake kwenye big game 2meona game ya liver na hii ! Ngoja mechi za city na chelsea yatakuwa haya2 labd atashambulia game ya mpumbavu mwenzake wenger....na hiyo pia itakuwa ya away home atapakiii semi....Lazima nikuelimishe. Mechi kubwa sina mbinu zake.Tatizo tangu mjue neno kupaki basi mnafikiri kila mahali mnaweza kulitumia.
Post yangu ya mwisho hii ombi lako nimelipokea,sitapoteza muda tena kuku-quote.