Rekodi ipi unayoisemea?Muoga wa big match huyo..record yake inajipambanua vyema..
Mzee wa kupaki basi.
ahhaahhaah! Inaweza kuwa ni usanii (sanaa) kumbe.Mkuu nmecheka kidogo
But ni Art au Science??
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Wapo wale wenye nyonyo ngumu kama chuma watasema tumecheza na timu ndogo.Wapishi wetu leo waangalie vipimo vya chakula, kuna dalili hatutokuwa na wageni leo..
Wale wasio na timu za kushabikia leo hawatotia maguu humu!
Ndio Mkuu inaweza kuwa Sanaa pia,, japo inalalia sana kwenye Science(Mathematics)ahhaahhaah! Unaweza kuwa ni usanii (sanaa) kumbe.