Screenshot_2017-10-28-16-27-34.png
 
Game ya leo back four ilikua kazini, Young leo kajitoa sana, ila Lukaku inabidi ajiongeze kidogo ndio hatuna mid nzuri kwa sasa ila leo alikuwa mzito sana.
Mie nafikiri lukaku yuko poa na ile ndio style yake sema unamuona kapwaya kidogo ni kwasababu feeders hazikuwepo nyuma yake.

Kwa tathmini yangu mikh ndio katokota sana leo na ndio alikua kete ya ushindi toka first half.
 
Game ya leo back four ilikua kazini, Young leo kajitoa sana, ila Lukaku inabidi ajiongeze kidogo ndio hatuna mid nzuri kwa sasa ila leo alikuwa mzito sana.
Young anaweza kuitwa timu ya taifa sasa, kiwango alichoonyesha ni kizuri sana. Pamoja na kutoonekana sana, Lukaku kafanya mambo matatu ya kumkumbuka Leo
1. Goli limetoka kwake (assist)
2. Kipa kaokoa mpira shuti lake
3. Amegonga mwamba ( mpira wa kichwa ulishamshinda kipa wa Spurs).
 
Kapaki halina ubishi hilo mashut mawili 2 mpk halftime ! Unataka kusema anashambulia ?
Ni si lazima "un-quote".

Au unafikiri Mimi sio shabiki united..?

Big match Jose muoga sana..huwa ni muumini sana wa mfumo wa kujilinda katika big Match kisha washambuliaji wanaonekana garasa.
Lazima nikuelimishe. Mechi kubwa sina mbinu zake.Tatizo tangu mjue neno kupaki basi mnafikiri kila mahali mnaweza kulitumia.

Post yangu ya mwisho hii ombi lako nimelipokea,sitapoteza muda tena kuku-quote.
 
Back
Top Bottom