Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Kapaki wapi wewe?? Alafu mech kubwa kwa man United ipi?Ni si lazima "un-quote".
Au unafikiri Mimi sio shabiki united..?
Big match Jose muoga sana..huwa ni muumini sana wa mfumo wa kujilinda katika big Match kisha washambuliaji wanaonekana garasa.
Hata kama ni uhuru wake kwanini afanye kitu ambacho wengi hawakipendi wala kufurahia.Nakapanya Belo ni lazima mtambue hili ni jukwaa huru, na yeye ana uhuru wa kutuma anachoona kinafaa bila kuvunja sheria!! so far kwa mwaka huu sijaona member ambaye ni active kama ruta anayepost picha humu na hata kipindi ligi haijaanza yeye ndiye amekua akiweka huu uzi active!!
Unaposema wewe hupendi jua wenzako tunazipenda! Tuache kuingilia uhuru wa watu humu jukwaani as long as hamna anayevunja sheria!!
Kuna jamaa mmoja tu nimem-ignore alileta suala la ubaguzi wa rangi humu. Kujibu swali lako: click huu la jina la MTU unaetaka kumignore. Mwisho kulia maneno ya chini ya jina lake kuna ignore. Bonyeza tu hiyo.Nielekeze na mimi jinsi ya kuignore mkuu
Mkuu Ruta naona unatupasha kinachoendelea.. 😀😀😀😀😀