Screenshot_2017-10-27-18-47-58.png
 
Kweli upo sahihi.
Afu msimu huu mmeshuka sana nyie Man u..! Benchi lenu la ufundi limepoa sana pia mnamtegemea sana mkabaji FELLAIN Nayeye yuko Injury kwa msimu huu MAN U watu wamekosa imani nayo hata kwa Barnley.
 
Tushamwambia kiungwana haelewi anadai sisi ni HATERS na hatuna mchango wowote kwenye thread
Mapicha yake yanachangia jukwaa kukosa post za maana maana kuscroll mipicha yake ili tutafute post za kusoma ni shida
tuBLOCK mapicha yake km inawezekana
Mweke kwenye ignore list hutayaona hayo mapicha yake wala post yake yoyote.
 
Tushamwambia kiungwana haelewi anadai sisi ni HATERS na hatuna mchango wowote kwenye thread
Mapicha yake yanachangia jukwaa kukosa post za maana maana kuscroll mipicha yake ili tutafute post za kusoma ni shida
tuBLOCK mapicha yake km inawezekana
Nakapanya Belo ni lazima mtambue hili ni jukwaa huru, na yeye ana uhuru wa kutuma anachoona kinafaa bila kuvunja sheria!! so far kwa mwaka huu sijaona member ambaye ni active kama ruta anayepost picha humu na hata kipindi ligi haijaanza yeye ndiye amekua akiweka huu uzi active!!

Unaposema wewe hupendi jua wenzako tunazipenda! Tuache kuingilia uhuru wa watu humu jukwaani as long as hamna anayevunja sheria!!
 
Nafahamu JF ni jukwaa huru binafsi sipendi hizo picha anazopost na sijawahi kumzuia kupost.JF kwa kuzingatia hayo waliweka option ya ku-ignore post za mtu,ukiweza kuitumia hiyo vizuri sidhani kama utalalamika kuhusu post za mtu hapa,its the best option,nimejaribu kumuelekeza huyo anayelalamika kuhusu hizo picha
 
Back
Top Bottom