Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Ila mna bahati ninyiiiii....
Ila Son na Dele Alli naamini hawatoniangusha!
Bahati ya nini?
Ila mna bahati ninyiiiii....
Ila Son na Dele Alli naamini hawatoniangusha!
Sipunguzi ila nina mpango wa kuchochea mafiga moto ukolee.Mkuu sisi hatulalamikii kila picha ila tunalalamikia picha anazorudia rudia kila mara ambazo hazina umuhimu wowote zaidi ya kuona tu wachezaji na hata kama ana malengo yake binafsi ya kupata anachojua yeye ajue tu kuna watu wengine wanalalamika ili apunguze na kuna watu wengi wanakereka ila wameshaongea hadi wakachoka nikiwemo mm.
Dua la kuku halimpati mweweIla mna bahati ninyiiiii....
Ila Son na Dele Alli naamini hawatoniangusha!
Kiwango kilishuka baada ya wezi kumtokea kwake akapoteza mwelekeo ingawaje alianza vizuri.huwa najiuliza mpaka kesho ni nini kilitokea mpaka kumtema di maria
Yaani bila kuchoka maana me yanavyonnogea natamani Hiyo badae ifike maana wanataka wamfundishe msambaa kugema!!!Mbona mbando kabisa. Leo nitabandika kibaoooo
Na wangejaribu kuchanganua picha za muhimu zipi na zisizo za muhimu zipi maana wasije wakawa wanakaka upost za sanchoka maana wabongo wanapenda chura kama nnSipunguzi ila nina mpango wa kuchochea mafiga moto ukolee.
Picha za muhimu kwako kwangu ni.majitaka na kinyume chake
Lini utaanza kacha kulalama na kudondosha nondo?
Teh teh tehYaani bila kuchoka maana me yanavyonnogea natamani Hiyo badae ifike maana wanataka wamfundishe msambaa kugema!!!
Yaani nimecheka mbavu sinaNa wangejaribu kuchanganua picha za muhimu zipi na zisizo za muhimu zipi maana wasije wakawa wanakaka upost za sanchoka maana wabongo wanapenda chura kama nn
Herrera hawaendani na matic ndomana tangu aumie fellaini magoli ya mekuwa machacheJambo jema sana maana media zilikuwa zishaanza kupata cha kuzungumza kama kawaida yao Wao na maurino
Tatizo siyo mtu ila kiwango kimeshuka pasi nyingi zinapotea na mikwaju langoni hakunaHerrera hawaendani na matic ndomana tangu aumie fellaini magoli ya mekuwa machache
Tatizo siyo mtu ila kiwango kimeshuka pasi nyingi zinapotea na mikwaju langoni hakuna
Tulipocheza na Liverpool ni mkwaju mmoja tu dhidi ya Liverpool sasa ni midfield au timu nzima safari UEFA zimewachoshwa na kushusha kiwango
tatizo sio timu mbona pogba na fellaini wakicheza mpira unaenda mbele why herrere usiebde kunatatizo