Jamani niliwahi kusema ukionja unazoea. Baada ya liverpool kuondoa bikra man united sasa mmezoea huu mchezo. Game ya tatu sasa. Namwonea huruma sana Mourinho.
Next week mnapiga na Leicester city kwa huu mwenendo, sioni matumaini mbele.
Pole sana dadngu everlenk na shosti'ako cute b.
 
Tatizo jf siku hizi imeingiliwa na vitoto viropokaji na kupenda kuvamia. Dogo ukiona huna cha maana cha kuongea usiquote comment yangu, endelea tu kutoa maoni yako freely.
Acha maneno yako wewe..!!!
Watu wakiona kuna ULAZIMA wa kukuquote watafanya hivyo..!
 
Mh! Hata sijui cha kusema...lakini naona Maureen inabidi achukue maamuzi magumu ya jinsi ya kupanga timu yake...leo karibu timu nzima ilicheza kama wamefungwa mawe miguuni...three defeats in a week isn't good at all!
Wewe pia unamkosea heshima bosi wa mapato ya fulana na kaptula?

Mimi nasubiri after match conference, nimsikie bwana mpayukaji, domokaya atakavyoshuka na kwaya mpya. Au ataamua kuwa kasuku,kurudia yale yale aliyokuwa anayatapika alipokuwa daraja bovu?
 
Mh! Hata sijui cha kusema...lakini naona Maureen inabidi achukue maamuzi magumu ya jinsi ya kupanga timu yake...leo karibu timu nzima ilicheza kama wamefungwa mawe miguuni...three defeats in a week isn't good at all!
Poleni,
 
Hahahaa tatizo ni Pogba aseee

Tatizo sio Pogba, tatizo ni Rooney na Fellaini.

Rooney anamzuia Pogba kutawala sehemu ya kiungo kwa kurudirudi nyuma na Fellaini amenuiziwa na David Moyes.

Hakuna sababu ya kuwapanga Rooney na Pogba kwenye first X1

Pogba hayuko huru.
 
Back
Top Bottom