Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
I've got nothing to say!Wewe pia unamkosea heshima bosi wa mapato ya fulana na kaptula?
Mimi nasubiri after match conference, nimsikie bwana mpayukaji, domokaya atakavyoshuka na kwaya mpya. Au ataamua kuwa kasuku,kurudia yale yale aliyokuwa anayatapika alipokuwa daraja bovu?

