morinho ameishiwa mbinu mtimueni atawashusha daraja Kama alivyo taka kufanya kwa chelsea
 
Raha ya kumpeleka demu ghetto ni unapiga goli kadiri pumzi inavyoruhusu,....kama paket za Condom zingekuwa nne, Watford angemtia mtu goli nne leo,....naona kagwaya kupiga kavu...demu mwenyewe ndio huyo anagawa nje ndani.
 
Daaah,,, nikaurudisha moyo wangu wote kuipenda tim baada S O kuajiliwa,,,
nikaonheza furaha baada ya mchezaji bora wa bundesliga kuja,, nikawa huru zaidi timu ilipovunjabrekodi ya uhamisho,, kumbe matatizo yanaendelea???? aaah Joseee utatuua na upangaji timu wako,,, hivi kwa nini usimwamin herrera??? kwa nini usimwache carrick amalizie soka lake??? kwa nini unamvumilia sana nahodha wako??? hivi tim unaijenga kupitia kwa nani??? una mpango gani na kipaji cha pogba???
 
si wakupewa hata Pole wachomwe tu refa achangie asichangie mpira wao hauna tofauti na wa Mwadui FC!

hahahaha leo najua utakuwa umekula vichwa... Nilisema tangu mwanzoni mwa ligi mpira wao ni hovyo sema 3 wins za mwanzoni ziliwapofisha.
 
Kuwa mkweli broh! Mark Oliver ka-fumble leo

Bro, hizi timu ndogo kama Watford huwa zikikutana na timu kubwa zinaanza game kwa hari kubwa na kama ujuavyo mcheza kwao hutuzwa.

Ni kweli Oliver kuna sehemu alikosea na nafikiri ni lile goli la kwanza la Hornets, ila overall nafikiri Man Utd walipaswa kufunga njia zote na kuambulia hata draw hasa baada ya Rashford kusawazisha.
 
Mkuu, msimsingizie mwamuzi huyu dogo anafahamu kazi yake.

Man Utd waliwadharau Hornets (jina la utani la Watford) na baadae walipoona wanashindwa game wakaanza kucheza rafu.

Hivyo mwamuzi Oliver hana namna na ndiyo akaanza kuonyesha kadi ambazo mwanzoni alikuwa akipotezea.

Mkuu unajua navyowachukia hawa wadudu(Man Utd) lakini wana sababu ya ku-complain juu ya maamuzi ya refa, hata ingekuwa Arsenal tumefungwa hivi ningelalamika. Mfano goli la kwanza ilikuwa obvious faulo kwa Martial kabla ya goli. Tuwe wakweli sometimes.
 
Diego simeone kapunguza mkataba wake na A.madrid safari ya kuja O.T ipo karibu sana....inauma sana ila inatosha Jose nenda tu
 
Back
Top Bottom