Kupatwa kwa Man U dah Nyuuuki sijui Dondola mtajuwa wenyewe amewachoma mara Tatu muda wa Morinho kulalamika time! hakosi la kuongea tehteh! 3-1
 
Nimesikitika sana. Huu udhalilishaji mbaya sana.

Baada ya miaka 30 Watford katia mimba ya mapacha watatu kwa mara ya kwanza
 
lol poleni. Ila nawaonea huruma refa kachangia kwa kiasi fulani kifo chenu cha leo.

Mkuu, msimsingizie mwamuzi huyu dogo anafahamu kazi yake.

Man Utd waliwadharau Hornets (jina la utani la Watford) na baadae walipoona wanashindwa game wakaanza kucheza rafu.

Hivyo mwamuzi Oliver hana namna na ndiyo akaanza kuonyesha kadi ambazo mwanzoni alikuwa akipotezea.
 
Mh! Hata sijui cha kusema...lakini naona Maureen inabidi achukue maamuzi magumu ya jinsi ya kupanga timu yake...leo karibu timu nzima ilicheza kama wamefungwa mawe miguuni...three defeats in a week isn't good at all!
 
Back
Top Bottom