BeNNy Mamba
Member
- Jun 21, 2016
- 75
- 66
kitu Man u wanaeza funga saa hii...ni mdomo


Nimenunua jezi ya Man Utd.Yap kama ni ya Pogba,nunua tuu si mlimleta mahsusi kwa kuuza jezi mtani??
Tatizo Mou analazimisha timu iwe ya kiingereza kwa kuwaridhisha waingereza kumchezeaha Rooney, hiyo ni namba ya Pogba anayomlazimisha Rooney acheze, Rooney ni striker na bahati mbaya Ibracadabra is far better than Rooney, which means Rooney anatakiwa awe bench, hili ni tatizo mojawapo litaloingarimu Manu.Tatizo sio Pogba, tatizo ni Rooney na Fellaini.
Rooney anamzuia Pogba kutawala sehemu ya kiungo kwa kurudirudi nyuma na Fellaini amenuiziwa na David Moyes.
Hakuna sababu ya kuwapanga Rooney na Pogba kwenye first X1
Pogba hayuko huru.
Sema tu kweli umenunua jezi ya Pogba. Mungu anakuonaNimenunua jezi ya Man Utd.
Hahahaaaa we ndiyo mchawi wetu.Hamshindi mpaka unipe ile kitu...
Fellain ndio mchezaji bora kwenye viungo wa United,Tatizo kubwa leo lillikuwa Rooney na Pogba
Nimenunua tu ya kawaida.Sema tu kweli umenunua jezi ya Pogba. Mungu anakuona
Huo uzi kama una no, na jina la Pogba nilimaanisha usisue kabisa kutokana na malengo ya timu kuuza jezi.Nimenunua jezi ya Man Utd.
Mungu anakuonaKhe kheee kheeeeee kheeeeeeeeee poleni sana humu. You have been POGBA again by Watford.
Tumpe muda aijenge timu kwanza![]()
![]()
![]()
mpaka mwakani hiyo
Malengoya timu mengi na ilo ni mojawapo.Huo uzi kama una no, na jina la Pogba nilimaanisha usisue kabisa kutokana na malengo ya timu kuuza jezi.
hata mie nakubaliana na wewe kuhusu Fellaini watu wanamchukia ila jamaa ndio anayeweka kidogo matumaini hasa ndani ya Box Cross yeye na Ibra, Herera angekuwa mkabaji then Pogba asogee mbele, Fellaini hasa ikifika dk za mashambulio ya Cross beki wengi wanapata tabu. Rooney ndio tatizo na Rashford si wa kucheza kulia ni kutoka kushoto japo leo alipiga cross nzuri upande wa kulia.Fellain ndio mchezaji bora kwenye viungo wa United,Tatizo kubwa leo lillikuwa Rooney na Pogba
Nimenunua jezi ya Man Utd.
Kocha tunaye kwani timu alizotoka aliwezaje kupata ubingwa.