D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,645
- 121,055
Kuna sehemu nilisoma, tokea aondoke arsene wenger hatujawahi kuwafunga arsenal uwanjani kwao.
Hivyo hivyo kidogo kidogo, huwa nadhani siku Manchester wakimpata Sergej Savic watatibu ugonjwa wa kushindwa kudominate midfield.Tatizo mkwanja brother.
Hii timu kwa sasa itakwenda kimiujiza ila fedha ya uwekezaji haipo.
Nimeeleweka vyema.Aisee hakuna namna lazima mkae mlizochukua kwenu zinatosha.
A
Vipi mkuu bado tupo kwenye mbio?View attachment 2465019
Kwa Ratiba ya City na Arsenal tukishinda Mechi 3 zijazo mfululizo tunaweza Officially kuingia kwenye mbio za kugombania ubingwa.
Bado gemu tatu sio? [emoji23][emoji23][emoji23]EPL NEXT 5 FIXTURES
Arsenal fixtures:
Totenham vs Arsenal
Arsenal vs Man United
Everton vs Arsenal
Arsenal vs Brentford
Arsenal vs Man City
Akiendelea kuwa kileleni nipigwe ban ya maisha.
Hapa tutarudi mwezi wa nne(sio May)Arsenal ana uhakika wa top 4 sio ubingwa.
Ehee ikawaje tena [emoji23]Kwangu mimi naona tukimfunga Man City na Crystal Palace halafu tukidraw na Arsenal itakuwa vizuri zaidi.
Kumbe alikuepo uyu jamaa [emoji23]Wout Weghorst will wear number 27 for Manchester United.
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2482730
.Tukishashinda mechi ya arsenal baada ya hapo natabiri mechi zote 17 zilizobakia ni win win
Tulisema tutarudi hapa [emoji23]Our main target ni 6 points from Asernal.Weekend hii tunaendeleza tulipoishia kwaiyo tutawapiga 3+ goal kama ngoma na kuchukua 3 points kwasababu 3 muhimu tulizonazo:
1. Uwezo ( Timu imeimarika na inastahili)
2. Nia (Kuirejesha heshima ya club iliyopotea)
3. Sababu (Kuchukua ubingwa msimu huu)
Mkuu naona akili zako umeamua kutozitumia unasema sisi mabwana wadogo kwenu kwani game ya kwanza ilitokaje.[emoji122][emoji122][emoji122] pongezi kwenu ManUtd inaonekana tulitegemea ushindani mkubwa na hamkutuangusha mkaleta ushindani kweli kweli. Mnazidi kuimprove. Mtakuwa tishio Kwa bottom teams huko na Hawa top teams wasipokaa chonjo watauwawa sana nanyi (eg Citeh). Ila kwetu nyie Bado mabwana wadogo sana
Ni kweli mkuuKuna sehemu nilisoma, tokea aondoke arsene wenger hatujawahi kuwafunga arsenal uwanjani kwao.
Hakuwa kwenye form yake first half, second half nadhani uliona kazi ykeKwa namna huyu Partey alivyokuwa anatukuzwa na GUNNERS,Rashford kamfanya aonekane wa kawaida sana tu. Goli letu limeanzia kwake.
Sawa bwana mdogo, kumbuka kila mmoja ameshinda nyumbani kwake.[emoji122][emoji122][emoji122] pongezi kwenu ManUtd inaonekana tulitegemea ushindani mkubwa na hamkutuangusha mkaleta ushindani kweli kweli. Mnazidi kuimprove. Mtakuwa tishio Kwa bottom teams huko na Hawa top teams wasipokaa chonjo watauwawa sana nanyi (eg Citeh). Ila kwetu nyie Bado mabwana wadogo sana
Weka na bajeti ambayo imetumika, pia thamani ya kikosi kila mmoja alikikuta ili tujue balaa lenu liko wapiSawa bwana mdogo, kumbuka kila mmoja ameshinda nyumbani kwake.
Project yenu na Arteta ina miaka 3 mpaka hivi sasa, sisi project yetu na ETH ndio kwanza ina miezi 6 lakini balaa lake wewe mwenyewe umelikubali.
Sijui ETH aliwaza nini mpaka akamtoa Anthony na kumuacha Werghost.Toka mumsajili Anthony, leo ndio amekuwa bora, alikuwa na mchezo mzuri, kaonesha uwezo wake kwa kiasi kikubwa.