PundamiliaManchester United 23-24 Away Kit Design Leaked
#Footy_Headlines
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2464926
Dah. Hili jibu ni too technical.With Cody Gakpo, I know you don’t talk about individuals, was it a case of deciding not to move for that particular player? And if you finished January without making a signing in the striker department, would you be satisfied, would you be okay, or would that be something you look at concerningly?
“I think we have a squad. We have the players who are matching our criteria. But with all the games that are coming, it is tough competition in all the leagues. But if you want to also be in all the leagues and keep playing in all the leagues by winning games and cups as well. So, you need players, you need numbers to cover. So, we need good players. Not only numbers, you need quality players to cover that and also that you need competition. And you need also that you can make tactical choices. So, we are looking for the right player for our squad and has to match our sporting criteria but also our financial criteria.”
Kama aliweza mnyoosha Ronaldo na ustaa wake, hakuna mbuzi mwingine wa kunyanyua mdomo.10 Hag hana masihara ukijifanya una unausingizi sana mpaka ukachelewa mazoezini au kwenye pre game meeting unakula bench bila kuangaliwa usoni hata kama ndio mchezaji tegemeo kwenye timu.
Kocha simamia hapohapo kwenye ni nidhamu ya timu maana kuna michezaji ilikua ishaanza kujiona mifaza hapo OT.
Kama aliweza mnyoosha Ronaldo na ustaa wake, hakuna mbuzi mwingine wa kunyanyua mdomo.
Tulihitaji kocha wa aina hii toka muda.
KwambaView attachment 2465019
Kwa Ratiba ya City na Arsenal tukishinda Mechi 3 zijazo mfululizo tunaweza Officially kuingia kwenye mbio za kugombania ubingwa.

Kwamba
Punguzeni ndoto wakuu
Kabisa tena jambo lipo ndani ya uwezo wetu.View attachment 2465019
Kwa Ratiba ya City na Arsenal tukishinda Mechi 3 zijazo mfululizo tunaweza Officially kuingia kwenye mbio za kugombania ubingwa.
Hizo game 3 una Arsenal Emirates na una City OTView attachment 2465019
Kwa Ratiba ya City na Arsenal tukishinda Mechi 3 zijazo mfululizo tunaweza Officially kuingia kwenye mbio za kugombania ubingwa.
Hizo mechi tatu zijazo yupo arsenal na cityView attachment 2465019
Kwa Ratiba ya City na Arsenal tukishinda Mechi 3 zijazo mfululizo tunaweza Officially kuingia kwenye mbio za kugombania ubingwa.
Mashabiki wa Man U tuacheni hizi ndoto.View attachment 2465019
Kwa Ratiba ya City na Arsenal tukishinda Mechi 3 zijazo mfululizo tunaweza Officially kuingia kwenye mbio za kugombania ubingwa.
EtH got balls..Kama aliweza mnyoosha Ronaldo na ustaa wake, hakuna mbuzi mwingine wa kunyanyua mdomo.
Tulihitaji kocha wa aina hii toka muda.
Mimi ni United lialia ila huu ujinga Sina aiseeMashabiki wa Man U tuacheni hizi ndoto.
Tufurahie kushinda mechi, swala la ubingwa tusahau.

yaani Kuna watu wanawaza eti mbio za ubingwa tuacheni ushabiki wa kijinga