Tulijitahidi sana sema tuna makosa madogo madogo hasa tunapofanya sub.
Mosi viungo wetu tukianza na Eriksen umri umeanza kumkamata yupo slow sana na mara nyingi anapokonywa mipira kirahisi.
Game ya kwanza Arsenal walifunga goal likakataliwa,ni huyu huyu Eriksen alipokonywa mpira kijinga.
McTommy ana miaka 26 sasa,ni wakati mzuri wa kumuuza mapema fedha yake atafutwe kiungo mzuri.
Shaka alimpeleka sana Shaw,sijui kwanini Kocha akutafuta solution mapema !.
Bado nina imani na kocha katutoa mbali sana na tukitilia maanani ana muda mfupi sana EPL.Nina hakika kadri siku zinavyosonga kuna mambo mengi atayafanyia kazi ikiwemo mshumbuliaji wa kati na kuongeza viungo mahiri na vijana.
Wakati umefika wachezaji wafuatao waondoke mara moja.
1. Harry Maguire
2. Phil Jones
3. Anthony Martial
4. Anthony Elanga
5. Donny Van de Beek