Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,502
- 7,160
Arsenal ana uhakika wa top 4 sio ubingwa.Arsenal wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa hata kimahesabu.
Ili waukose ubingwa wanahitaji kupoteza angalau mechi tano au Sare zisizopungua saba halafu timu inayowafuatia asipoteze zaidi ya mechi tatu.
Kimahesabu Arsenal wameukaribia sana ubingwa imagine katika mzunguko huu wamepoteza mechi moja tu.