Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wenye maswali kuhusu goli la 3. Majibu yenu haya hapa.
IMG_20230123_181812_985.jpg
IMG_20230123_181812_499.jpg
 
Kuna siku nilielezea kwenye uzi wenu kwanini tuliwafunga japokuwa mlituzidi kiuchezaji.

MBINU, MBINU, MBINU. Ile mechi hatukushinda kibahati tu na pale tulikuwa vibaya tukacheza counter attack football. Sasa hivi tunapiga kotekote maana defensively tume-improve na pasi pia tunaziweza, kwenye timu zilizotengeneza nafasi nyingi msimu huu tupo. Emirates ni uwanja tu.
Total dominance,no janja janja
IMG-20230123-WA0020.jpg
 
Arsenal ya kawaida sana na jana defense yenu imekuwa exposed na Brighton.

Brighton ndiyo timu pekee ukiacha United imeonyesha udhaifu wenu ni vile tu na wao walikuwa na makosa mengi ya kiulinzi na udakaji.
Kwakweli Arsenal ya kawaida Sana

Manchester United stats in details: Arsenal had 63 touches in the United box!! 63!!

That’s the highest total in any Premier League game this season. United only had 12 in Arsenal’s box.

Arsenal’s 3.2xG (off 25 shots) is their highest this season.
IMG_20230123_190207.jpg
 
Kwakweli Arsenal ya kawaida Sana

Manchester United stats in details: Arsenal had 63 touches in the United box!! 63!!

That’s the highest total in any Premier League game this season. United only had 12 in Arsenal’s box.

Arsenal’s 3.2xG (off 25 shots) is their highest this season.View attachment 2493118
Hongereni arsenal kwa kuchukua ubingwa wa kumfunga man u
 
Umeanza kufuatilia mechi za Man U vs Arsenal lini?

Kama una uzoefu hiyo kauli usingeitoa.
Fuatilia toka enzi za Fergi na Wenger, Arsenal ndio mnadominate mpira kwa maana ya ball possession.
Ila matokeo huwa yanakuwa tofauti.

Fuatilia. Utajifunza kitu.
Kipind Cha Unai emery ,Arsenal haikuwa ina dominate mechi
 
Back
Top Bottom