Manchester United chaliii yapigwa Fainali, Tottenham yatwaa kombe

Manchester United chaliii yapigwa Fainali, Tottenham yatwaa kombe

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,239
Reaction score
7,639
Sasa ni rasmi Timu ya Manchester United inamaliza msimu wa 2024/25 ikiwa mikono mitupu, hiyo ni baada ya kupoteza kwa Goli 1-0 katika Fainali ya Europa League dhidi ya Tottenham Hotspur ambayo imefanikiwa kutwa ubingwa.

Spurs imetwaa ubingwa huo kwa mara ya tatu katika historia kwa Goli pekee la , ilibeba kombe hilo Mwaka 1972 na 1984.

Upande wa Man United licha ya kuwa ndio mchezo wa kwanza kupoteza katika Europa msimu huu, hu oni mwendelezo wa matokeo mabaya baada ya kutofanya vizuri katika Ngao ya Jamii, Premier League, Carabao Cup na FA Cup.
 
When Satan is excited to see Devil dying..
What a night...
 
Timu za Jiji la Manchester msimu huu zimekuwa ni mdebwedo kupitiliza. Imagine ndugu yake Man City naye siku chache zilizopita na yeye kapigwa kimoja tu na Crystal Palace kwenye FA Cup Final!!

Dharau kubwa sana hizi kwa timu za Jiji kubwa na maarufu la Manchester.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mimi man u nimeumia sana tulikua na matumaini ya kuchukua ueropa league. Ili kufuzu UEFA
 
Back
Top Bottom