Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,747
- 9,509
Uyu Santos mbona km Fred tu 🤣🤣
pasi mkaa kibao
😬
pasi mkaa kibao
😬
FawanewsAnayejua app nzuri kuangalia game live
Na mmetupa mil 50. Ngoja niwajuze mashabiki wa Man u Santos sio mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri mwenye kuhitaji muda wa kukua tulimuuza kwasababu nafasi yake anacheza nguli kweli kweli General Moi Caicedo ukimtoa huyo Kuna Romeo Lavia na msimu huu utakaoanza ni ngumu kwake kupata namba kwasababu hatuna mashindano mengiUyu Santos mbona km Fred tu 🤣🤣
pasi mkaa kibao
😬
Nilitumia YouTube tuFawanews
Fred hakuwa mbaya mkuuUyu Santos mbona km Fred tu 🤣🤣
pasi mkaa kibao
😬
Msidhani mwaka huu pia kona zitawaokoa mkuuNyie wasindikizaji wachovu wazembe mambo vipi?
Naona pale kwetu watu kama Amad, Cunha na Mbeumo wanaweza kutusaidia. Vipi, tunaweza kukaa mezani mtupe hao?
Hata huyo Bruno Fernandez tunaweza kumchukua aje akae bench awe supersub maana ana kitu na yeye.
FA waliona jinsi Arsenal tumejua kuadapt na kuexploit corners na saa zingine throw-ins kwa kupoteza muda. Wameleta visheria kibao vya kutupiga pin. Ila sisi ni wazee wa kuadapt sasa mtashangaa msimu ujao sheria hizi hizi zilizoundwa kutudhibiti ndizo tutazitumia kushine. Pia ndiyo maana tunatafuta hao akina Amadi wazee wa kufosi waje watupe vitu vya kitofauti.Msidhani mwaka huu pia kona zitawaokoa mkuu
Nyie kombe lenu ni assist za bruno 😂Sihitaji uvumilivu wa project ya arsenal, uwepo man u
INEOS walisema project ni either msimu huu au ujao tuchukue EPL
Tupo vizuri
Kusema kweli wewe mkuu Bagabeach ni optimistic sana kuhusu mustakabali mzuri wa Manchester United yetu na umekuwa ukimsapoti kila kocha tangu zama za Teg Hag, Solskjaer na au hata kabla ya hapo. Unastahili kila lililo jema kwa klabu hii.Sihitaji uvumilivu wa project ya arsenal, uwepo man u
INEOS walisema project ni either msimu huu au ujao tuchukue EPL
Tupo vizuri
Mr Hope.Kusema kweli wewe mkuu Bagabeach ni optimistic sana kuhusu mustakabali mzuri wa Manchester United yetu na umekuwa ukimsapoti kila kocha tangu zama za Teg Hag, Solskjaer na au hata kabla ya hapo. Unastahili kila lililo jema kwa klabu hii.
Kuna Mwana mwingine alikuwa anaitwa RADIKA, sijui alipotelea wapi vile.
Camavinga for left back?
Madrid wanamtumia upande wa kushotoCamavinga for left back?