We rest em alNdugu zangu Kina Flano ,Chezeni kwa umakini dhidi ya palace tunataka mje kamili ,tuoneshane makali
[emoji599]| Casemiro and Fred have both received four yellow cards in the Premier League and another warning midweek would mean a ban for the trip to Arsenal. [@TheAthleticFC]
Head to head enyewe head Moja iwe haijatahiriwa. Wanabisha tu lkn sisi ni kikojoo chaoWeka head to head kwa hii misimu mitano kaka tuone nani mchumba tafadhali
Mbwa ni dada yako asie vaa chipi?Jumapili nitawafunga nyingi nyie mbwa!
Matusi ya nn Sasa wakuuMbwa ni dada yako asie vaa chipi?
Game ya round ya Kwanza mliongea hivi hivi,,,,at the end kila mtu anajua kilichotokea !Jumapili tutawaonesha mpira wa ujanja ujanja ,wakuvizia kaunta hauna nafasi ,na haufai katika harakati za kupigania ubingwa
Sorry wadau simu yangu imejitype mistakenlyH u 9ofggTN mmnm GJ k*j%just after
Ile game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpiraGame ya round ya Kwanza mliongea hivi hivi,,,,at the end kila mtu anajua kilichotokea !
Weekend sio mbaliIle game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpira
Game hii mnakuja tukiwa full ,tena home , kazi mnayo
Our main target ni 6 points from Asernal.Weekend hii tunaendeleza tulipoishia kwaiyo tutawapiga 3+ goal kama ngoma na kuchukua 3 points kwasababu 3 muhimu tulizonazo:Ile game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpira
Game hii mnakuja tukiwa full ,tena home , kazi mnayo
Tutakuja kufukua haya makaburiOur main target ni 6 points from Asernal.Weekend hii tunaendeleza tulipoishia kwaiyo tutawapiga 3+ goal kama ngoma na kuchukua 3 points kwasababu 3 muhimu tulizonazo:
1. Uwezo ( Timu imeimarika na inastahili)
2. Nia (Kuirejesha heshima ya club iliyopotea)
3. Sababu (Kuchukua ubingwa msimu huu)
Tutunze hizi risiti kaka [emoji23][emoji23]Tutakuja kufukua haya makaburi
Hii thread ni tamu sana hadi shabiki wa arsenal muda mwingi yupo humu kuliko kwenye thread inayomuhusu [emoji23][emoji23][emoji23]Tutakuja kufukua haya makaburi