verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,143
- 6,246
Muda wa kufukua makaburi sasa
SawaTupo pamoja leo pingeni mbwa hizo
Ikawaje tenaWakati Rashford anafunga bao yani hata hajamaliza kushangilia huku Baleke naye anaipatia bao la kuongoza Simba
Mechi hizi zikiisha zikiwa zimepata ushinda, siku yangu itamalizika vizuri sana leo
Heee kocha tenaAcha arsenal washinde tu kocha Ni fala sana
Nilikua nawaambia humu komaeni na timu ya weusi mkawa mmeziba masikioGame ya cry ni kama waliipuzia walitakiwa washinde wabebe pts 3
Wangekomaa na ile wakachukua pts 3 tu hata wachezaji wote wangepata majeruhi poa tuNilikua nawaambia humu komaeni na timu ya weusi mkawa mmeziba masikio
Hii game angekuwepo casemiro tungeongea mengine hapa...
Arsenal.. mnapiga kelele sanaa ila trust me hii ndo gemu yenu ya mwisho kushinda kwa ETH...
nyie ni vibonde wetu na mtaendelea kua hivyo
Werghost sio mchezaj kama tulikuwa pungufu tu uwanjanSub kocha leo kachemka sana..Eriksen alikuwa katepeta..Angetolewa aingie Fred..then Werghost atoke aingie Garnacho,Shaw angempisha Malacia..naamini tungekuwa na spidi kidogo.
Anyway..GGMU.
Arsenal anakimbiza mwenge wa UhuruCity huwezi kumpigia mpira.
Mind you![]()
Mngeliwa tuSub kocha leo kachemka sana..Eriksen alikuwa katepeta..Angetolewa aingie Fred..then Werghost atoke aingie Garnacho,Shaw angempisha Malacia..naamini tungekuwa na spidi kidogo.
Anyway..GGMU.
Weee acha bwanaWakati Rashford anafunga bao yani hata hajamaliza kushangilia huku Baleke naye anaipatia bao la kuongoza Simba
Mechi hizi zikiisha zikiwa zimepata ushinda, siku yangu itamalizika vizuri sana leo
Kwaio?Arsenal ana mechi mbili za lig na man city
Ulicheki gemu ya mwisho city na arsenal? au ndo unaangalizia mpira LivescoreCity huwezi kumpigia mpira.
Mind you![]()
Ile game kwangu ndio ilinipa picha tunaelekea wapi ,Ulicheki gemu ya mwisho city na arsenal? au ndo unaangalizia mpira Livescore
Hio saa 5 usiku wataangalia wenyewe.Mechi tatu zijazo tunacheza saa 5 usiku.
Kwa nini kila siku sisi?
Ni kweliWasiwasi wako ndio maradhi yako.
Arsenal hawana timu ya kutufunga labda tucheze kikhanithi kama juzi dhidi ya palace.
Sasa wewe unakwenda vitani, unasema unakwenda kuuliwaNi kweli