Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Injury zinapoteza sana wachezaji. Msimu ambao ndiyo kaanza kuonyesha uwezo wake kapata injury tena.

Akirudi msimu ujao kupata namba itakuwa ishu sana, dirisha kubwa wakala wake afanye mpango arudi Netherlands tu kwa mkopo kupata regular football, pia kuwa mazingira ya nyumbani itamsaidia mentally.
Kabisa mkuu,,,, EPL pamemshinda! Very loyal guy sema ndo hivyo Tena !
 
Maybe if this is personal interest, lakini by far Thomas Partey has been the best holding midfielder itl this season, nikufundishe kitu, kama unahitaji kiungo mzuri kwenye 1st phase & progression lazima umchukue Thomas Partey, km unahitaji kiungo mzuri kuzuia lkn si mzuri technically mchukue Casemiro, Casemiro namuona ni Ngolo Kante, wakati Thomas partey ni Rodrigo cuz wote wana technical consistency japo partey is more physical prowess. Fabinho simuongelei cuz kapotea msimu huu, sasa mpira mnauangaliaje wenzetu? binafsi ningemuweka Caicedo, Rodrigo & Partey kwenye list mbele ya wabrazil wawili.
Mbona huyo Partey mnayemuongelea hajafika hata Level za Declan Rice, au unazungumzia mpira gan?
 
Kosa la kwanza EtH atakalolifanya kesho ni kuanza na kiungo cha Casemiro,Fernendes na Eriksen.

Tunahitaji mkimbiaji hapo katikati..ile game ya sita goli la kwanza lilianzia pale Eriksen alipoacha kucheza tactical foul..Fred atatusaidia kwa kazi hii.
Upo sahihi, lakini tumpe nafasi ETH afanye kazi yake aliyoaminiwa anaiweza maana pia yeye anawafahamu wachezaji wake vizuri kuliko sisi
 
Michezo Ni kitu Cha kijamii kinachounganisha watu,,,,

Pamoja na utani wa kishabiki baina ya timu zetu, kulikuwa hakuna sababu ya kutoa tusi ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa mkuu !

Ustaarabu Ni kitu kidogo Sana !

Lets enjoy the beautiful game !!
Unategemea nini kwa watoto wadogo miaka 18? Akikua nadhani ataacha.
 
Back
Top Bottom