Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Player ratings

[SofaScore]
TrustTheProcessETH
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230122_231121_041.jpg
 
Lisandro Martinez’s game by numbers vs. Arsenal:

83% pass accuracy
75 touches
7 long balls completed
4 interceptions
3 clearances
2 aerial duels won
2 ground duels won
1 shot
1 goal

Scores for United for the first time.

TrustTheProcessETH
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230122_231004_562.jpg
 
Hua napenda kuangalia convo za watu kabla ya mechi, wakati wa mechi na baada ya mechi.

Unamshuhudia mtu anajisifia na kuponda kila kitu. Anaandika Arsenal hawana timu ya kutufunga, mechi yetu na wao sisi tunaenda kufanya mazoezi.

Baada ya kupata goli unamuona akiapia kwamba ushindi ni uhakika hawezi kumpinga kocha.

Goli linarudishwa unamuona anaandika sisi tukipata goli tunajisahau.

Linapigwa goli la pili unaona anasema Weghorst hafai na pengo la Casemiro lipo wazi (Juzi Erik alisema walishinda bila Casemiro na yeye akashangilia hii declaration)

Wanarudisha goli unaona anaandika hili ni bonge la header hawa Arsenal bado wetu tu.

Dk 10 mbele anaandika hii mechi bora iishe Arsenal inatusaka mno.

Wanapigwa la 3 anaanza kumtukana kocha na kila mchezaji.

In a span of two hours unamshuhudia mtu uwezo wa akili yake ukiwa tested, unamuona akiwa desperate, akiwa vulnerable, akiwa anasubiri miujiza yaani anajiexpose kila kitu.

Kuna mshkaji wangu tulikua tunabishana juzi akatoa kashfa, Rashford alivyoscore akaweka status. Baada ya game akafuta status akaandika kwamba kwa United hii ndiyo mechi yao ngumu kabisa kwakua Arsenal is a better side so tusijisifie kwakua wao ni wabovu.

Na hapo shida ni nini? Shida ni kwamba hawatumii akili.

Hamna kingine.
 
Hio saa 5 usiku wataangalia wenyewe.
Mechi za saa 5 zimenitoa nyongo baada kufungwa kifala na Crystal Palace, Yaani nipoteze usingizi halafu nipoteze tena points 3, ikifika asubuhi muda wa kazini nianze kujilaumu, huo upuuzi siufanyi tena labda iwe ni big match.
Hahahaa upo kama mimi Jombaa. Huwa napataga hasira kinoma gemu za usiku tukipoteza pia hata hivyo nikifanya leo ngoja nikaze najikuta nimewasha Tv naangalia kitandani hapo hapo. Juzi ile Palace walivyochomoa tu nika-mute sauti nikajifunika shuka mpaka usoni kwa hasira.
 
Hio saa 5 usiku wataangalia wenyewe.
Mechi za saa 5 zimenitoa nyongo baada kufungwa kifala na Crystal Palace, Yaani nipoteze usingizi halafu nipoteze tena points 3, ikifika asubuhi muda wa kazini nianze kujilaumu, huo upuuzi siufanyi tena labda iwe ni big match.
Hizo mechi ndogo ukiwa unaziangalia ndiyo utajua kama timu yako ikikutana na timu zingine nini kitatokea.

Sometimes timu inapata matokeo siyo kwakua ni nzuri ila kuna miujiza na kuna kugewa weak opponent
 
Hua napenda kuangalia convo za watu kabla ya mechi, wakati wa mechi na baada ya mechi.

Unamshuhudia mtu anajisifia na kuponda kila kitu. Anaandika Arsenal hawana timu ya kutufunga, mechi yetu na wao sisi tunaenda kufanya mazoezi.

Baada ya kupata goli unamuona akiapia kwamba ushindi ni uhakika hawezi kumpinga kocha.

Goli linarudishwa unamuona anaandika sisi tukipata goli tunajisahau.

Linapigwa goli la pili unaona anasema Weghorst hafai na pengo la Casemiro lipo wazi (Juzi Erik alisema walishinda bila Casemiro na yeye akashangilia hii declaration)

Wanarudisha goli unaona anaandika hili ni bonge la header hawa Arsenal bado wetu tu.

Dk 10 mbele anaandika hii mechi bora iishe Arsenal inatusaka mno.

Wanapigwa la 3 anaanza kumtukana kocha na kila mchezaji.

In a span of two hours unamshuhudia mtu uwezo wa akili yake ukiwa tested, unamuona akiwa desperate, akiwa vulnerable, akiwa anasubiri miujiza yaani anajiexpose kila kitu.

Kuna mshkaji wangu tulikua tunabishana juzi akatoa kashfa, Rashford alivyoscore akaweka status. Baada ya game akafuta status akaandika kwamba kwa United hii ndiyo mechi yao ngumu kabisa kwakua Arsenal is a better side so tusijisifie kwakua wao ni wabovu.

Na hapo shida ni nini? Shida ni kwamba hawatumii akili.

Hamna kingine.
🤣🤣🤣🤣
 
Jinsi tulivyoumia leo kwangu ni ishara Ten Hag anafanya kazi kubwa sana. Nikikumbuka miezi 6 tulipokuwa na hapa tulipo. Nani angeweza kufikiri hata tukifungwa mechi 3 mfululizo bado tupo top 4?

Binafsi I'm very grateful so far, Arsenal, City na L'pool hizi ni timu ambazo benchi la ufundi lipo kwa zaidi ya misimu mitatu. Hatuwezi kujilinganisha nao kwa sasa, benchi letu la ufundi ndio kwanza wana miezi 6 tu.

Naona mwanga ndani ya msimu ujao. Msimu huu top 4 na kikombe kimoja yatakuwa mafaniko makubwa sana na mahala tulipotoka msimu mmoja nyuma. Japokuwa nilianza kujipa moyo wa kufanya kitu ila Arsenal wapo serious msimu huu.
Maisha yanaenda kasi sana yaani leo hii aseno tunagawana nae point za home and away
 
Back
Top Bottom