Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,701
- 40,172
Wan Bisaka ni Bora mcheze pungufu.Shenzii yamesawazisha
Wan Bisaka ni Bora mcheze pungufu.Shenzii yamesawazisha
Pengine humfahamu vizuri AWB! Makosa ni kawaida kwa wachezaji. Lakini haimaanishi ati hafai!Wan Bisaka ni Bora mcheze pungufu.
9 goals in 9 gamesWaingereza wameanza kumuingilia EtH kimtindo na wachezaji wao wa mchongo.
Ilitakiwa wamuache mwalimu achague mshambuliaji mwenye umri mdogo ili awe sehemu ya mpango wa muda mrefu sio kibabu Kane kisa mtoto wa malkia.
Pale United inatakiwa tusafishe waingereza akiwemo Rashford mchezaji mwenye kiwango kisichotabirika.
AWB huwaga mipira ya juu ya krosi huwa anakabia tu macho..sio mara ya kwanzaPengine humfahamu vizuri AWB! Makosa ni kawaida kwa wachezaji. Lakini haimaanishi ati hafai!
Mbona Jamaa amecheza vizuri So FarWegost bora kocha angejaza viungo wacheze bila mshambuliaji mbele
Hapa niliquestion huyo mshambuliaji mzee wa championship mnampeleka wapi?Wegost bora kocha angejaza viungo wacheze bila mshambuliaji mbele
Huitakii timu mema ww 😀Mbona Jamaa amecheza vizuri So Far
Jamaa akipewa mpira anadondokaHapa niliquestion huyo mshambuliaji mzee wa championship mnampeleka wapi?
Tulia bibie, hii game arsenal ananyooshwa Vizuri mno.Man u mnazingua bora niswitch to al nassir nimungalie cr7 mara ya mwsho mwsho b4 kuretire
Mtu hajatengenezewa nafasi yyte ya goli, unatk afunge kimiujiza auWegost bora kocha angejaza viungo wacheze bila mshambuliaji mbele
Mjomba achana na parteyKwa namna huyu Partey alivyokuwa anatukuzwa na GUNNERS,Rashford kamfanya aonekane wa kawaida sana tu. Goli letu limeanzia kwake.
Umemuona hata akipata mpira kwa bahati mbaya anakuaje laknMtu hajatengenezewa nafasi yyte ya goli, unatk afunge kimiujiza au