Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Scot dakika alizoonekana ni aibu[emoji38][emoji38] ila kusema ukweli tunahitaji kiungo flani mwenye kuweza kutembea na mpira, Viungo wetu wazuri kwenye pasi tu lakini ili timu ifunguke tunatakiwa tuwe na mtu hapo kati anaeweza kutembea hatua kadhaa na kutoa pasi.

Hawa kina scot na fred hawatakiwi hata kuwa squad player waende tu yani mapema sanaa tunahitaji benchi zito.
 
[emoji2957][emoji2957]
20221108_184616.jpg
 
I’d love to be the scout who recommended Weghorst, who’s clearly got some sort of visionary abilities the rest of us don’t.
 
Jinsi tulivyoumia leo kwangu ni ishara Ten Hag anafanya kazi kubwa sana. Nikikumbuka miezi 6 tulipokuwa na hapa tulipo. Nani angeweza kufikiri hata tukifungwa mechi 3 mfululizo bado tupo top 4?

Binafsi I'm very grateful so far, Arsenal, City na L'pool hizi ni timu ambazo benchi la ufundi lipo kwa zaidi ya misimu mitatu. Hatuwezi kujilinganisha nao kwa sasa, benchi letu la ufundi ndio kwanza wana miezi 6 tu.

Naona mwanga ndani ya msimu ujao. Msimu huu top 4 na kikombe kimoja yatakuwa mafaniko makubwa sana na mahala tulipotoka msimu mmoja nyuma. Japokuwa nilianza kujipa moyo wa kufanya kitu ila Arsenal wapo serious msimu huu.
 
Mimi ndo maana nimesema siwezi kumlaumu kocha wala mchezeaji

Maana msimu huu kigogo mwenye ajachapika kwetu ni Chelsea tu wote hao tumewalamba.

Kwangu naona ten hag anaonyesha mwanga maana ndo msimu wake wa kwanza tu ila timu ipo vizuri tu.
 
Back
Top Bottom