Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MY STARTING XI vs YOUNG BOYS JUMANNE..

========

De Gea

AWB Varane Lindelof Telles

Fred van de BEEK

Sancho Fernandes Lingard

Ronaldo

=======

Young boys ni wakata majani tu,sioni ni kwanini tusishinde kwao kwa kutumia hicho kikosi..Tuna tough game na Westham,tuwe tunafanya rotation zenye akili ili kila mechi tuwe na uwezo wa kuchagua kikosi kinachoweza kutupa matokeo.
Wakata nini?
 
Nimeangalia group lenu nimecheka Sana hili ni group la uefa kwel au Europa ????

Villareal
Young boys
Atalanta
Man utd .,


Sasa hapo timu ya uefa si Atalanta ,hili group utafikili ni la Europa walahi
Usiidharau young boys
 
Hatuna KOCHAAAA.

Tuna wachezaji Tishio kabisa, Tishio namaanisha mchezaji mmoja anaweza kuwa Tishio kwa Mabeki 2, so tukiwa pungufu 10 bado kuna wachezaji wanaweza kufanya tuwe 11, Weka Greenwood, na Varane alafu Fanya pressing ya nguvu ili kutowapa wapinzani chance ya kugain confidence.

Ole KILAZA. Ifike mahali tumfukuze huyu Maasai akajipake mafuta ya Ng'ombe na kulala kwenye ngozi.
Sosha ni wakutimuliwa..anakosa extra edge kutufanya tubebe makombe..mfano hiki kikosi tulichonacho ni cha kunyanyua kwapa kabisa ila utashangaa tutakavyoondoka trophyless msimu huu.

Upuuzi mtupu..sosha atupishe aje hata Conte tubebe kombe.
 
Nyie wapuuzi
IMG-20210915-WA0006.jpg
 
Msimu uliopita tulitoka hatua ya makundi kizembe plus kufungwa na wale vilaza instanbul baseksehir.
 
Screenshot_2021-09-15-10-48-43-33_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg

Ronaldo haamini aisee anawaza anaanzaje kucheza uefa uropa league wakati kazoea kucheza UCL 😀😀😀
 
Unakumbuka kwamba mara ya mwisho tunawakula pale Stanford Bridge goli la kwanza alifunga Martial akipewa pasi ya upendo na Bissaka na bao la pili aliwapiga captain mwenyewe Harry Maguire.
Baada ya hapo wameisaidia nin man united..
 
Back
Top Bottom