kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Kweli!Kwani tatizo hulijui mkuu?.. Ole is an average Coach especially kwa timu kama Man utd
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli!Kwani tatizo hulijui mkuu?.. Ole is an average Coach especially kwa timu kama Man utd
Nahisi ni dalotUmefanya mabadiriko mengi sana aisee.
Hivi hatuna mbadala wa bissaka?
Basi apewe nafasi Dalot mechi ijayo, na pale kati abadishiwe mmoja tu. then we face Young Boys.Nahisi ni dalot
Mnafunga wachovu alafu mnajitapa subiri mkutane na Chelsea ndio mnatimu au la!Sioni namna yoyote ile ya kujitetea msimu huu, yani tuna:-
De dea,
Luke Shaw
Maguire
Varane
Baily
Bissaka
Lindeloff
Pogba
Bruno
McTomnay
Matic(ingawa umri umeenda)
Sancho
Rashford
Martial
Cavan
Ronaldo 🔥
Msimu huu hatuwezi kusingizia kikosi kabisa, kwanza inatakiwa tusipoteze game yoyote ile tukiwa OT alafu mengine ndo yafate.
🤣🤣🤣🤣 Mnajichekesha aisee mnajitapa kufunga wachovu subiri mkutane na wanaume Chelsea ndio muipime team yenu msije baadae mkaanza na kauli za Ole outNdio maana mimi nalia na OLE. Hii collection ni next to PSG. Kwa hiyo hatutakiwi kupoteza everything uingereza to start with. Tena PSG yenyewe ni front line yao pekee ndio threatening sisi ni kila eneo, ila wanbissaka nae ananipa wasiwasi.
Ukiweza kuzuia hisia zako za kishabiki, au ukiwa mtu usiyependa vya bwarere, ni rahisi sana kuona mapungufu halisi ya timu yetu. OLE is unfit for that position.Kama ilivyo kwa wadau wengi humu jukwaani ze-dudu Volatility na wengine ambao hawajaweka misimamo yao wazi sana kuhusu uwezo wa Ole pale United,ningependa nione Cavan na CR7 wakicheza pamoja bila kuathiri uwiano wa timu katika kushambulia na kuzuia ili nimpe jamaa HEKO walau ya kinafiki tu.
Binafsi bado naamini uwezo binafsi wa wachezaji ndio unatuweka juu na sio ubora wa mbinu za mwalimu tuliye naye.
Kwabongo au duniani?Hivi chelsea na Arsenal nani ana mashabiki wengi?
Aisee. unajua kilichomuondoa kocha wenu PSG?🤣🤣🤣🤣 Mnajichekesha aisee mnajitapa kufunga wachovu subiri mkutane na wanaume Chelsea ndio muipime team yenu msije baadae mkaanza na kauli za Ole out
Uingereza.Kwabongo au duniani?
Kipi hicho tuambieAisee. unajua kilichomuondoa kocha wenu PSG?
Go do your homework. if you get the answers wrong, i will spunk you and we do the corrections. right?Kipi hicho tuambie
Kama Mzee wa KiminyioRonaldo ni mtu wa nidhamu na mazoezi, hapo ndipo wanapottofautiana - Mechanic player, anategemea mazoezi ili apate matokeo mazuri na pia ana nidhamu ya mazoezi na ndio siri ya mafanikio yake. Watu wa naman hii wanaweza kucheza hata kwenye umri ule wa uzee yaani over 40
Manchester tunahitaji kombe, hakuna udhuru;
Tufunge kila mechi walau goli 3
1. Ronaldo
2. Rashford.
3. Sancho.
4. Pogba
Wewe unamzungumzia bongo ila duniani Chelsea ina mashabiki wengi kuliko ArsenalMkuu Arsenal ana mashabiki wengi sema kwa sasa hawako active utawaona timu yao ikianza kufanya vizuri.
Chelsea wao wanafanya vizuri ndio hao wote unawaona sasa hawawezi kujitokeza wengine
Tukikutana na timu kubwa tunacheza kama tulivocheza na Real madrid. Hapo ndio mtajua hamjui.Jana mmecheza kama man u na mkashinda, sasa mje mkutane nayo mcheze hivyo hivyo ndio mtajua kama maji ni maji au ni mma.