OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Hamna timu humu
Mechi ikiisha mtabadili story kwamba ni vibonde.Leo mnashikwa shikwa na Young boys.
Mkuu huyo Meshack Elia ni yule wa TP mazembe?Kosi la dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1937606
Sijamfatlia mkuu huenda ndio yeye.Mkuu huyo Meshack Elia ni yule wa TP mazembe?
Mzee wa rekodi, zamani alikuwa anapambana kuzifuata nowadays zinamfuata yeye.
Wanangu Young Boys hawatotuangusha leo ..Kosi la dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1937606
Nyie levo zenu kina Everton, WesthamWanangu Young Boys hawatotuangusha leo ..
Halafu baada ya ninyi kuchezea kipigo, mje darajani kutowa pongezi maana tunaenda kumla mtu kichwa.
Kwanini mkipigwa unapotea jukwaani?Wanangu Young Boys hawatotuangusha leo ..
Halafu baada ya ninyi kuchezea kipigo, mje darajani kutowa pongezi maana tunaenda kumla mtu kichwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanangu Young Boys hawatotuangusha leo ..
Halafu baada ya ninyi kuchezea kipigo, mje darajani kutowa pongezi maana tunaenda kumla mtu kichwa.