Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,172
- 26,906
Manure 






















Mkuu huyo Meshack Elia ni yule wa TP mazembe?
Huyu Sancho tulipigwa mchana kweupe.
Sosha jifunze kwa tuchel basi ile game yake na liverpool
Yani young boys ni wa kuwajazia mabeki kweli tena game plan yako ni kupaki basi baada ya red card
Huyu mbwa afukuzwe kesho asubuhi, kwnn hawataki kutuelewa mashabiki.
Mbwa sn huyu kocha sijui atafukuzwa lini huyu kima.
Wakati wenzako wanavuta ugolo! Wewe ukaamua kuubwia kabisa hadi ukachaniwa mkekaa!Kikundi cha wavuta ugolo mpooooo ,kazi yenu ni kuhakikisha mnachana mkeka tu