Shabiki wa Manchester ambaye ana imani na Kocha huyu OLE huwa si muangaliaji mpira utakuta ana angalia highlights na matokeo tu, lakini sisi tunao angalia mpira tunajua huyu OLE uwezo wake wa kiufundishaji ni mdogo sana na hakuna kikombe atakachoshindabado safari ni ndefu, lakini tukiangalia takwimu za Ole kwenye michuano ya UEFA zinaleta ukakasi na hofu ndani yake.
ameshafungwa mechi 7 kwenye 11 za champions league tokea apewe kibarua cha kufundisha man utd.
pia tuna mechi dhidi ya villareal timu ambayo hatujawahi kuifunga hata mara moja
Chalii tulia basiKosi la dunia limeinamishwa Jana..
Ni kizito haswa. Kukifanya kiwe dynamic shurti kwa winch!Tuna kikosi kizito kwa kweli mpaka inafurahisha sasa hivi ni juu ya ole kutupa raha.
Unakumbuka kwamba mara ya mwisho tunawakula pale Stanford Bridge goli la kwanza alifunga Martial akipewa pasi ya upendo na Bissaka na bao la pili aliwapiga captain mwenyewe Harry Maguire.Una masho, lindag, bissaka, magwaya halafu halafu una kikosi kizito hahahaha...
Hao wachezaji wangekuwa Chelsea wangeshauzwa kitambo ..rose Barkley na bakayoko wangekuwa manure wangepata namba hakika.
Team ilikuwa inashambuliwa na hao wrote walikuwa hawakabi inavyotakiwa ndio mana akaingia lingard na matic.. Na walipoingia hao uliona mashambulizi yalipunguaBado nimetahamaki
Hivi aliwaza Nini mpaka akawatoa
Van de beek, Fernandez na Ronaldo?
Young boys hainawachezaji wazuri....?Mlipokuwa mnang'ang'ana na kumsajili Sancho na CR7 bila kuipa kipaumbele DM ndio madhara yake haya, kinachotofautisha Chelsea kwa mfano na Manure ni mambo mawili makubwa
Liverpool pamoja na uzuri wao walishindwa kutufunga tukiwa pungufu
- Kiungo mkabaji au viungo wakabaji
- Kocha mwenye uwezo wa kujua mechi na kuweka silaha zinazoendana na mechi
Ingekuwa ni ninyi mngejazwa 5
Young Boys timu isiyokuwa na wachezaji wazuri wala wazoefu inawapa shida hivi
Again, nawaona mkielekea kwenye Europa league ndio saizi yenu
Young boys hainawachezaji wazuri....?
Wachezaji wazuri ni wachezaji wapi/ wa aina gan. Or unamaanisha wachezaji maarufu....?
Hata Zahera hamuwezi.mbele ya zahera ni bonge la kocha









Young boys kwenye ligi yao ni timu ambayo inatawala ni kama Madrid Spain au bayern German au Simba na Yanga kwa Tz.Mlipokuwa mnang'ang'ana na kumsajili Sancho na CR7 bila kuipa kipaumbele DM ndio madhara yake haya, kinachotofautisha Chelsea kwa mfano na Manure ni mambo mawili makubwa
Liverpool pamoja na uzuri wao walishindwa kutufunga tukiwa pungufu
- Kiungo mkabaji au viungo wakabaji
- Kocha mwenye uwezo wa kujua mechi na kuweka silaha zinazoendana na mechi
Ingekuwa ni ninyi mngejazwa 5
Young Boys timu isiyokuwa na wachezaji wazuri wala wazoefu inawapa shida hivi
Again, nawaona mkielekea kwenye Europa league ndio saizi yenu
Sasa mnalalamika nini wakati ndo kwanza game ya kwanza? Mbona msimu uliopita mlipigwa na wale Basaksehir sijui ila baadaye mkawafunga?Hata Zahera hamuwezi.
Bora ufungwe na Man City au Bayern na sio Young Boys.Come down Reds; it’s just the first game. We have 5 more to come.
I see kumbe MAN U kwenye uzi wenu mnatukana Kila mtu kipuuzi..Ona hii takataka![]()