Handle
JF-Expert Member
- May 12, 2020
- 236
- 277
Mechi yetu unaonyeshwa channel ipi huku dstv ?
222
Mechi yetu unaonyeshwa channel ipi huku dstv ?
.mkuu Mara ya mwisho sikumbuki ni lini tulipigwa. Maana tuna uefa, supercup, kila game tuna piga MTU Mara tatu, Mara nne ..Kwanini mkipigwa unapotea jukwaani?
Utakua mchawi weweSafiiiiiiii red ya halali kabisa.

Utamuogopaje mke wako? Mke unaye jipigia muda wowote..!.mkuu Mara ya mwisho sikumbuki ni lini tulipigwa. Maana tuna uefa, supercup, kila game tuna piga MTU Mara tatu, Mara nne ..
Sisi ndio Chelsea bwana....wewe huyiogopi Chelsea???
CFC
Si mlisema atacheza bila puresha maana hatopata head line heheheheHuyu Sancho tulipigwa mchana kweupe.
Hahahaha dah unamfunga Nu casto wewe jidanganye tu mziki wa sasa ivi ni hatari tupu ..humuogopi Lukaku???Utamuogopaje mke wako? Mke unaye jipigia muda wowote..!
Huyu Sancho tulipigwa mchana kweupe.
Sancho ni Martial aliye changamkaHuyu Sancho tulipigwa mchana kweupe.



