Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mlipokuwa mnang'ang'ana na kumsajili Sancho na CR7 bila kuipa kipaumbele DM ndio madhara yake haya, kinachotofautisha Chelsea kwa mfano na Manure ni mambo mawili makubwa
  1. Kiungo mkabaji au viungo wakabaji
  2. Kocha mwenye uwezo wa kujua mechi na kuweka silaha zinazoendana na mechi
Liverpool pamoja na uzuri wao walishindwa kutufunga tukiwa pungufu
Ingekuwa ni ninyi mngejazwa 5
Young Boys timu isiyokuwa na wachezaji wazuri wala wazoefu inawapa shida hivi
Again, nawaona mkielekea kwenye Europa league ndio saizi yenu
Siyo kweli! Mwalimu tu anafeli
 
Huyu kocha aendi popote sisi man u yetu tunaijua ,kufungwa kwa leo lazima mbeleni kutajibu tu ,ole shikiria hapo hapo hata wewe una familia
Yan ndo ujue binadamu tuna roho mbaya sana ..yani wanatak ole afukuzwe na familia yake ikale wapi sasa..
 
Ngoja sasa nikanywe supu baada ya kutoa Kliiin shit.....ukiwa shabiki wa Chelsea unakula kote kote. Unashinda na piga mhindi na kichwa kizito kichwani
Screenshot_20210915-063910_Chrome.jpg
 
poleni asee, jana sikua serious kuwaombea njaa!

unajua mwanzo, nilijua hawa watoto wanatania!

kumbe wako serious bhana!

poleni sana

temeni mate tuwachape hawa watoto wasio heshima!
 
Unakumbuka kwamba mara ya mwisho tunawakula pale Stanford Bridge goli la kwanza alifunga Martial akipewa pasi ya upendo na Bissaka na bao la pili aliwapiga captain mwenyewe Harry Maguire.
Kocha alikuwa Nani? Na sasa hivi kocha ni Nani?
 
Back
Top Bottom