Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Ulitaka akimbie hata kama sio sehemu ya kukimbia kama kuku kakatwa kichwa mtu hukimbia kunapohitajika sio kila pass unakimbia tu hata kama kapewa lindelof ukimbie tu embu acheni unafki wakumsema mtu kwa mechi moja moja★
Jana juan mata alikuwa anakimbia kushinda huyo dalot wako, pamoja na kwamba wake umesogea.
 
★Donny van de Beek on Juan Mata: "I am really happy I play with players like Juan, he is so creative. Amazing passes, and he can play one touch which I like. I am happy to play with a legend like Juan."★


#GGMU

manutd |
IMG_20201001_172342_997.jpeg
 
Unaona sasa?

Bissaka si amekuja juzi tu? Leo tunasajili mbadala kisa ameshindwa kufit eneo hilo. Bruno nae akiwa flop? Tutamsajili mbadala? Pogba je?

Hapo kosa la nani mchezaji kuja akiwa mzuri na kuflop baada ya msimu mmoja?
Kocha kimeo
 
nina imani na Ole kwenye Mechi kubwa . anajua kutafuta ushindi. hili kundi tunapita
katunyima imani kwenye mechi ndogo tumpe imani kwenye mechi kubwa huu ni ujinga, kocha hamna pale tutafte kocha mwenye ufundi na mbinu za kutosha, mfano kikosi kilichocheza jana kimeonyesha angalau wana fight ushindi kuliko hyo first eleven yenyewe
 
Mechi hizo OLe akipanga hiki kikosi asubuh tuu tunaongoza hilo group.

De gea

AWB. Maguire. Upemecano. Telles.

Bruno Matic Vdb

Sancho. Cavan Martial


Subs: Henderson, Baily, Shaw, Pogba, Fred, Rashford, Greenwood
hii timu ilioshindwa kusajili wachezaji kwa takribani miezi mitatu inapata wapi nguvu ya kusajili wachezaji wanne kwa siku tano
 
Back
Top Bottom