





Mpira ungekuwa hivyo, basi kusingekuwa na haja ya kuangalia mechi.Mlipokuwa mnang'ang'ana na kumsajili Sancho na CR7 bila kuipa kipaumbele DM ndio madhara yake haya, kinachotofautisha Chelsea kwa mfano na Manure ni mambo mawili makubwa
Liverpool pamoja na uzuri wao walishindwa kutufunga tukiwa pungufu
- Kiungo mkabaji au viungo wakabaji
- Kocha mwenye uwezo wa kujua mechi na kuweka silaha zinazoendana na mechi
Ingekuwa ni ninyi mngejazwa 5
Young Boys timu isiyokuwa na wachezaji wazuri wala wazoefu inawapa shida hivi
Again, nawaona mkielekea kwenye Europa league ndio saizi yenu









Hawa DSTV washenzi sana unalipia kifurushi 51k halafu wanaonyesha mechi za Sevilla na Salzburg !!!!! Upuuzi gani huu sasa ?
Vipi ameshafukuzwa asubuhi ya leo ?Leo ndiyo kaonesha uwezo mdogo kuliko cku zote, natumai kesho asubuhi anafukuzwa.
Nani angecheza fullback ya kulia ?Pale baada ya red pia angeweza kumtoa vdb aingie Greenwood, pia angemtoa bruno/pogba aingie Varane zen tungecheza hata 4-4-1 mana CR7 kule mbele aliwaweza, lahaulaaa kocha akamtoa na CR7 mwenyewe![]()
Wanayumba kweli games kalikali mpk vifurushi vya kwendaHawa DSTV washenzi sana unalipia kifurushi 51k halafu wanaonyesha mechi za Sevilla na Salzburg !!!!! Upuuzi gani huu sasa ?
Au hata 44 1 ronaldo anabaki kama main manTimu kubwa kama Utd ina wachezaji wa gharama kubwa inapocheza na timu ndogo hata mchezaji akitolewa kwa red card co issue, inabd kutulia na kumiliki mpira, pale nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood tucheze 3-51 mana hawa ni watoto, unaenda unatoa forward unaingiza kiungo, baadaye unatoa kiungo unaingiza forward hivi anajitambua kweli huyu?
Bado, akifukuzwa nitakujuza.Bado hajafukuzwa tu
Linderlof.Nani angecheza fullback ya kulia ?
Maana yake alitakiwa kufanya sub mbili ?Linderlof.
Ingekuwa hivi 4-4-1Nani angecheza fullback ya kulia ?




Alitakiwa kufanya sub ngapi baada ya ile red card ili hiyo squad uliyopanga ipatikane ?Ingekuwa hivi 4-4-1
De gea
Linderlof Varane Maguire Shaw
Greenwood Fernandes Fred Pogba
Ronaldo
Au 3-5-1
De gea
Linderlof Maguire Shaw
Greenwood Bruno Fred Matic Pogba
Ronaldo
Sijapanga vzr ila nimeeleweka.
Angetoka vdb angeingia Greenwood, angetoka Sancho angeingia Varane mbn simple tu.Maana yake alitakiwa kufanya sub mbili ?
Leo ndiyo kaonesha uwezo mdogo kuliko cku zote, natumai kesho asubuhi anafukuzwa.
Sancho na vdb.Alitakiwa kufanya sub ngapi baada ya ile red card ili hiyo squad uliyopanga ipatikane ?