Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Juzi Songa yule msanii wa kilingeni kahamia man united akitokea arse8 ..baada ya kutangaza tu kuhamia tumeanza kupokea vipigo ..tumuandikie barua arudi kwenye timu yake arse8 itakuwa ametumwa huyu
 
Come down Reds; it’s just the first game. We have 5 more to come.
bado safari ni ndefu, lakini tukiangalia takwimu za Ole kwenye michuano ya UEFA zinaleta ukakasi na hofu ndani yake.
ameshafungwa mechi 7 kwenye 11 za champions league tokea apewe kibarua cha kufundisha man utd.
pia tuna mechi dhidi ya villareal timu ambayo hatujawahi kuifunga hata mara moja
 
Mlipokuwa mnang'ang'ana na kumsajili Sancho na CR7 bila kuipa kipaumbele DM ndio madhara yake haya, kinachotofautisha Chelsea kwa mfano na Manure ni mambo mawili makubwa
  1. Kiungo mkabaji au viungo wakabaji
  2. Kocha mwenye uwezo wa kujua mechi na kuweka silaha zinazoendana na mechi
Liverpool pamoja na uzuri wao walishindwa kutufunga tukiwa pungufu
Ingekuwa ni ninyi mngejazwa 5
Young Boys timu isiyokuwa na wachezaji wazuri wala wazoefu inawapa shida hivi
Again, nawaona mkielekea kwenye Europa league ndio saizi yenu
 
Una masho, lindag, bissaka, magwaya halafu halafu una kikosi kizito hahahaha...
Hao wachezaji wangekuwa Chelsea wangeshauzwa kitambo ..rose Barkley na bakayoko wangekuwa manure wangepata namba hakika.
 
Back
Top Bottom