Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,000
- 27,974
Hata kama mngeamua kupiga kelele baada ya kuwafunga hao fox isingewezekana kuwa kama kelele za Man U, unajua ni kwanini?Yaan mnaifunga Newcastle mnakuja kuvimba ,kenge nyie ...
We fuvked fox and we're quit ,ila sasa daaa ,kweli nyumbu ni nyumbu tuuu......

Team yako haina mashabiki, ni sawa na Azam fc hapa bongo

.Najua unatamani kungelikuwa na vibe kwenye jukwaa lenu ila ndo hivyo, wengi ni plastic fans na kwasasa wamerudi kwenye team zako maana zipo hot.

, angalieni hiyo mikimbio
