Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Defence was terrible.

Midfield was horrible.

Strikers were horrific.

Sheffield wamecheza kama Barca. Kipindi cha kwanza Phill Jones ndo alikuwa kichochoro chao. Na wamekitumia vyema.

Ole anatakiwa ajitathmini kama akili yake ipo sawa kuinoa United.
 
Pale haiujutusaidia, maana Refa alikubali goli, na VAR ikataka kuwasaidia nyie ila ikashindikana

Mimi nimeongea kiujumla VAR is nonsense
Ila ilivyowapa go ahead kwenye faulo ya Origi mkaenda kupata goli dhidi ya Liverpool, haikuwa upande wenu? sasa mmebakiza kuisingizia VAR kwamba ndo sbb ya hali yenu
 
jose mourinho alimuona andreas perreira hana kiwango cha kucheza kila siku ndio maana alimtoa kwa mkopo, hata msimu uliopita alimbakisha kwa sababu hakuwa na solution kwa sababu klabu ilishindwa kuingia sokoni.

scott mctominay hakuwa chaguo la kwanza mbele ya nemanja matic.

hao wote chini ya OGS wamekuwa chaguo la kwanza usiku na mchana, wacheze vizuri au waharibu.
Garry Neville anasema Man u inatakiwa isajili wachezaji 5 au 6 January
 
Kikosi kilichoenda Kazakhstan
Screenshot_20191126_204207_com.android.chrome.jpeg
 
Back
Top Bottom