Ole alifanya kosa kubwa sana kukubali kibarua cha kuinoa Man United kwa haya Matusi anayochezea.
Ile Legacy aliyojijengea Mwaka 1999 kwenye Fainali against Bayern pale Camp Nou naona inasambaratika taratibu.
 
Jamani Man u kwa aina ya wachezaji mlio nao hata akija Klopp au Pep hawataweza kuipeleka top 4, hebu linganisha mchezaji mmoja mmoja wa Man u na Liverpool au Man city uone tofauti ilivyo kubwa kiuwezo.Hata kwa Leicester bado sana.

Aina ya wachezaji waliopo Man u ni wale wa timu za katikati ya msimamo, nafasi ya 7 hadi 13 ukimtoa De gea,Pogba na angalau Rashford.
Jose Mourinho alishika nafasi ya pili na alizifunga timu zote za top 4 (Man City,Chelsea,Liverpool,Spurs,Arsenal,Leicester) na wachezaji hao
 
Hata technical bench nalo linamapungufu makubwa sana timu ilishapigwa kocha yuko bench katulia anakula jojo.

Hivi Rashford na Martial hawawezi kufanya pressing tunapokuwa hatuna mpira ? Mbona kocha huwa haonyeshi kukerwa na tabia yao ya kupoteza mipira kizembe halafu wanaanza kutembea kama wako beach na girlfriends wao.

This is the hardest time kwangu mimi toka nimeanza kuishabikia man united almost 24 years now.
Ndo ujinga unapoanzia..mtu anatroti tu kibrazameni uwanjani na huoni hata kocha akimkaripia..na hali inaendelea kila mechi..huu ni zaidi ya ujinga.
 
Dunk mwenye miaka 28 ambaye si mtu utasema kuna room ya kuwa developed, VVD alienda Liverpool akiwa na 24/25 years.

Mwingereza ambaye hata hayupo kwenye chaguo la 8 kati ya mabeki wa timu ya Taifa

Nope kwa upande wangu

Niliwahi kusema, kuna baadhi ya wachezaji tunawatamani kwa kuwa sio wachezaji wetu
Mbona hata Van Djik alitokea midtable team ?

Tunahitaji sana wachezaji wenye physical presence uwanjani.

Sasa hivi squad yetu ukiondoa Pogba na Scot wengine physically they are not good at all.

This is not Man united I used to see contending for titles.
 
Jicho langu mechi ya jana

Team selection ya OGS especially kwa Phil Jones ilikuwa ya kiboya. Why not Axel, why Jones?

Kucheza na timu inayo defend sana, tena timu mbovu (underdog) kwa mfumo wa 3 - 4 - 3 ni uoga

Maguire na Lindelof kati bado hawajawa solid kama watu wengi tulivyotegemea wakati msimu ulipokuwa unaanza. Tukiimarisha kwa kusajili defensive midfielder na ukabaji ukawa huo huo, tutakuwa na haki zaidi ya kuwalaumu, kwa sasa tuwe wapole

Brandon Williams is a real deal, mwanzo ali panic kidogo kutokana na kelele za mashabiki wa the Blades, lakini baadae akatulia, naamini hata angecheza Shaw hali ingekuwa hiyo hiyo au mbaya zaidi. After all amefunga goli muhimu sana, goli la kwanza

Pengo la Tominay limeonekana, Pereira akiendelea hivi msimu huu utakuwa wa mwisho kwake, Martial kama kawaida yake, anacheza vizuri timu nzima inapocheza vizuri, timu ikiwa haina mpira muda mrefu anapotea. DJ ni Mr. Reliable kwetu, he is the signing of the season kwa EPL yote, Mason in two years atakuwa juu ya Rashy na Martial wakati kocha anapanga kikosi chake

Positives.

Tukiwa na midfielders wote ambao msimu ilipoanza hawakuwa first teamer, tumeweza kucheza vizuri especially second half.

Tukitajwa kuwa tuna forward mbovu kabisa katika timu za top six, tumeweza kuitoboa mara tatu timu inayotajwa kuwa haijawahi kufungwa goli zaidi ya 2 kwa muda mrefu sana (hakukuwa na goli la penati safari hii)

Come back spirit ni Positivity nyingine.
James mbuz tu aisee
 
Kulikuwa kuna Pereira,Greenwood,James,Mc tominay, Bissaka, Maguire?
jose mourinho alimuona andreas perreira hana kiwango cha kucheza kila siku ndio maana alimtoa kwa mkopo, hata msimu uliopita alimbakisha kwa sababu hakuwa na solution kwa sababu klabu ilishindwa kuingia sokoni.

scott mctominay hakuwa chaguo la kwanza mbele ya nemanja matic.

hao wote chini ya OGS wamekuwa chaguo la kwanza usiku na mchana, wacheze vizuri au waharibu.
 
Mkuu nakubaliana na wewe sehemu nyingine, ila unataka uniambie kwa sasa Matic yupo mbele ya Tominay?

Nakumbuka kuna kipindi Jose alimwamini Tominay kuliko Pogba
jose mourinho alimuona andreas perreira hana kiwango cha kucheza kila siku ndio maana alimtoa kwa mkopo, hata msimu uliopita alimbakisha kwa sababu hakuwa na solution kwa sababu klabu ilishindwa kuingia sokoni.

scott mctominay hakuwa chaguo la kwanza mbele ya nemanja matic.

hao wote chini ya OGS wamekuwa chaguo la kwanza usiku na mchana, wacheze vizuri au waharibu.
 
Mkuu nakubaliana na wewe sehemu nyingine, ila unataka uniambie kwa sasa Matic yupo mbele ya Tominay?

Nakumbuka kuna kipindi Jose alimwamini Tominay kuliko Pogba
umeisoma hiyo comment ya jamaa alipomnukuu belo?
pereira,Greenwood,James,Mc tominay, Bissaka, Maguire
wanne kati ya hao hawakuwa na uwezo wa kuingia kikosi cha kwanza msimu ule tulioshika nafasi ya pili.

valencia alikuwa vizuri msimu ule
matic alikuwa vizuri
pogba alikuwa vizuri
hata lingard pia alikuwa vizuri
ushindani ulikuwa mkubwa sana kati ya rashford na martial kabla ya ujio wa sanchez
 
Pole mkuu, ila huoni kama VAR ipo kwa ajili ya Liverpool na Spurs

Goli la kwanza la Sheffield, japo Jones ana mchango wake, lakini yule forward wa Sheffield alimsukuma kiaina. That was a foul VAR were to be consulted. Goli la kusawizisha la Sheffield pia lina walakini.
Ila ilivyowapa go ahead kwenye faulo ya Origi mkaenda kupata goli dhidi ya Liverpool, haikuwa upande wenu? sasa mmebakiza kuisingizia VAR kwamba ndo sbb ya hali yenu
 
VAR haichezi mpira uwanjani.

Kwani Phil Jones hakuwa na option yoyote ya kucheza ule mpira mpaka adondoke kwa simple push kama ile ?

Goli la Pili Maguire alizembea kuucheza ule mpira matukio kadhaa niliyoyafuatilia yanMaguire he is not good on one vs one situation.
Shida jamaa yako anatafuta a scapegoat. Yani hataki kukiri kwamba timu ina shida bali vigezo bya nje ndo shida.
 
Mikate inapatikan kwa bei rahisi...
IMG-20191125-WA0002.jpeg
 
Mkuu nakubaliana na wewe sehemu nyingine, ila unataka uniambie kwa sasa Matic yupo mbele ya Tominay?

Nakumbuka kuna kipindi Jose alimwamini Tominay kuliko Pogba
Kocha yeyte mwenye akli timamu, narudia tena mwenye akli timamu hawez mwacha Tominay na kuchezesha mlingoti Pogba, Tominay anaskiliza sana maelekezo ya mwalimu na ni mpambanaji... Pogba anategemea Sana defesinve medifilider wapoje ili wamlishe afanye madoido
 
VAR haichezi mpira uwanjani.

Kwani Phil Jones hakuwa na option yoyote ya kucheza ule mpira mpaka adondoke kwa simple push kama ile ?

Goli la Pili Maguire alizembea kuucheza ule mpira matukio kadhaa niliyoyafuatilia yanMaguire he is not good on one vs one situation.
Umeongea point aiseh, kuna vitu vingine ni uzembe tu ule mpira wa Jones hata mtoto wa chekechea angeweza kuufanyia maamuzi, sometimes hata kama kocha nae ana weakness zake ila kumlaumu inakua makosa kwa scenario kama ya Jones aiseh , ushindi wa jana tumejikosesha wenyewe
 
Back
Top Bottom