Fred vs Astana:
1 assist
Most passes (128/136)
Most final third passes (43/49)
Most ball recoveries (15)
Most chances created (3)
2nd most interceptions (3)

Do you think he deserves to start vs West Ham?
Mkuu hili si swali. Fred yapasa apewe namba ya kudumu. Ana kitu mguuni huyu jamaa.
 
Fred vs Astana:
1 assist
Most passes (128/136)
Most final third passes (43/49)
Most ball recoveries (15)
Most chances created (3)
2nd most interceptions (3)

Do you think he deserves to start vs West Ham?
Definetly..
 
NIKISEMA....."FUTUHI...!WE UNASEMA "NDIO...! NI FUTUHI..."!

Liverpool alikuwa anakosa hadi nafasi ya kushiriki kwa ubovu yaani anapitwa hadi na stoke city ktk hiki kipind cha mpito manchester united hajawah kuwa wa 8 ila liverpool kashika sana kipofu kaanza kuona mwez kuanzia 2013 hata hivyo lipo ukingoni hana muendelezo ukiangalia bench kupo tupu subir wale walev wanaotumia nguv waanze kuchoka mane kaanza kulalamika hapumziki
 
2013? Hapo wenyewe umewapendelea, Hadi msimu wa pili wa Mou wapo vibaya, wamekuwa vizuri misimu miwili iliopita, na hakuna guarantee wataendelea kuwa vizuri,
 
Pogba. Martial. Shaw will miss next feature with West Ham.

Yet you don't want invest in Midfield and Attack.
 
2013? Hapo wenyewe umewapendelea, Hadi msimu wa pili wa Mou wapo vibaya, wamekuwa vizuri misimu miwili iliopita, na hakuna guarantee wataendelea kuwa vizuri,

Jamaa wanajitoa ufahamu sana kama liverpool imekuwa timu bora kwa miaka 10 kumbe imeibuka 2017 na bado hamna dalili ya kutamba miaka 10 haka ka upepo kamewapumbaza ukiangalia bech kuna shakir,orig na keita, lalana na milner kwisha hapo sasa utaniambia kuna vipaji? Sema wanabahat timu inajituma na kucheza kwa nguv
 
“He’s getting the chances,” Solskjaer said about Rashford. “Of course, he could have had three today. The ‘keeper made a few fantastic saves.”

“I don’t worry about that, no. We’re working every single day in training with Marcus. He wants to improve, wants to be better. He could’ve finished with his left instead of his right today. It’s just one of those days. I thought their ‘keeper was excellent.

“All the goals we’ve scored [in the Premier League] have come from the forwards with Marcus and Anthony, and Dan James. I’m sure they’ll chip in with many many goals.
“Marcus is still young, he’ll improve. You won’t hit your peak as a striker until you’re 26 or 27. He’s still learning what finishes to make in different circumstances.

“I think today’s forwards are different from old traditional number nines. There are not many left of them. Marcus can play all four positions – right, left, up front on his own and as a 10. Anthony can. Mason can. None are pinpointed to one position.
“You’ll see them rotated around.”
 
Jamaa wanajitoa ufahamu sana kama liverpool imekuwa timu bora kwa miaka 10 kumbe imeibuka 2017 na bado hamna dalili ya kutamba miaka 10 haka ka upepo kamewapumbaza ukiangalia bech kuna shakir,orig na keita, lalana na milner kwisha hapo sasa utaniambia kuna vipaji? Sema wanabahat timu inajituma na kucheza kwa nguv
Hahahahahahahahah Wewe jamaa nilishakwambia Manchester United hii ni kama kikundi cha kulia Msibani kwa sasa kinachopatikan Buguruni kwa Binti Madenge, Eti haka ka upepo kamewapuliza tu na nyie mbona hakawapulizi sasa hako ka upepo.
 
Liverpool alikuwa anakosa hadi nafasi ya kushiriki kwa ubovu yaani anapitwa hadi na stoke city ktk hiki kipind cha mpito manchester united hajawah kuwa wa 8 ila liverpool kashika sana kipofu kaanza kuona mwez kuanzia 2013 hata hivyo lipo ukingoni hana muendelezo ukiangalia bench kupo tupu subir wale walev wanaotumia nguv waanze kuchoka mane kaanza kulalamika hapumziki
Kikombe alichokinywa LFC na Nyumbu mnaenda kukinywa tena zaid ya kile , usijiaminishe sana kua mtarud kwenye ubora wenu labda kina web wazaliwe upya
 
Jamaa wanajitoa ufahamu sana kama liverpool imekuwa timu bora kwa miaka 10 kumbe imeibuka 2017 na bado hamna dalili ya kutamba miaka 10 haka ka upepo kamewapumbaza ukiangalia bech kuna shakir,orig na keita, lalana na milner kwisha hapo sasa utaniambia kuna vipaji? Sema wanabahat timu inajituma na kucheza kwa nguv
Mbona bench lenu lina jones, valencia, fred, young hujalizungumzia
 
Si kweli

Kuna watu walisema watobelewe macho, wengine watatoa simu za milioni 2 na wengine watahamia Yanga wakati wao ni ssimba

Mpaka leo zimekuwa ni ahadi za kufurahisha genge tu
Nimesema Rashford akifikisha magoli 20 msimu huu naacha shabikia Man Utd na humu siingii.
 
Jamaa wanajitoa ufahamu sana kama liverpool imekuwa timu bora kwa miaka 10 kumbe imeibuka 2017 na bado hamna dalili ya kutamba miaka 10 haka ka upepo kamewapumbaza ukiangalia bech kuna shakir,orig na keita, lalana na milner kwisha hapo sasa utaniambia kuna vipaji? Sema wanabahat timu inajituma na kucheza kwa nguv
Shaqiri,Origi na Keita hawana vipaji?

Halafu Rashford ndio ana kipaji?!! Mnavutia kwenu sana
 
Back
Top Bottom