Sikuizi huwa naingia humu kusema Man United ni timu mbovu ajabu tim haina mipango, mchezaji anapiga pasi ili mradi tu atoe mpira miguu mwake.
Hakuna flow nzuri ya mpira yani ni tim inacheza hovyo hovyo.
Kocha nae kiazi tu ,bora Wolves kuliko Manchester United. Atleast wolves wanashambilia kwa mipango.

Aka katim Astana utasikia kamekutana na tim nyingine kamekula 3 . United tunashinda 1 tena kwa bahati.
 
Mbona mmecheza vizuri tu, sema wafungaji ndivyo hivyo tena
Sikuizi huwa naingia humu kusema Man United ni timu mbovu ajabu tim haina mipango, mchezaji anapiga pasi ili mradi tu atoe mpira miguu mwake.
Hakuna flow nzuri ya mpira yani ni tim inacheza hovyo hovyo.
Kocha nae kiazi tu ,bora Wolves kuliko Manchester United. Atleast wolves wanashambilia kwa mipango.

Aka katim Astana utasikia kamekutana na tim nyingine kamekula 3 . United tunashinda 1 tena kwa bahati.
 
FUTUHI..........NDIO NI FUTUHI .....
WAKUKURUPUKA ANA KURUPUKIA JIKONI LEO.

Usikose kipindi chako matata sana saa 3:30 usiku ndani ya Star tv.
NDIO NI FUTUHI
 
Back
Top Bottom