TATU KONGORO a.k.a MKATE WA ARUSHA MAMA MMOJA MATATA SANA.KAFANYAJE ALI HII NDANI YA FUTUHI
 
UMEMUONA BROTHER K ??
UNAJUA AMEKUJA NA NINI KATIKA MTAFITI ???

USIKOSE ALHAMIS HII FUTUHI NI SHEEEDA.
 
-greenwood mchezaji wa kwanza wa Man UTD mwenye miaka 17 kufunga mashindano ya ulaya.
-wachezaji wa 5 wa academy wamecheza leo, na wa tatu walikuwa bench jumla 8
-kuanzia October 1937 mpaka Leo hii miaka 81 baadae man U hajawahi kucheza mechi bila mchezaji wa academy kuwa kwenye kikosi.

GGMU.
Hao wachezaji hawana tija yeyote.

Angekuwa Mou angeshatimua wote hao.
 
Kilichoniuma ni kushindwa kumaliza biashara mapema, tungefanya hivyo, madogo waliokuwa benchi nao wangepatiwa nafasi

Points 3 muhimu zimeingia kibindoni, hilo ndio la msingi kwa sasa
-greenwood mchezaji wa kwanza wa Man UTD mwenye miaka 17 kufunga mashindano ya ulaya.
-wachezaji wa 5 wa academy wamecheza leo, na wa tatu walikuwa bench jumla 8
-kuanzia October 1937 mpaka Leo hii miaka 81 baadae man U hajawahi kucheza mechi bila mchezaji wa academy kuwa kwenye kikosi.

GGMU.
 
Sikuizi huwa naingia humu kusema Man United ni timu mbovu ajabu tim haina mipango, mchezaji anapiga pasi ili mradi tu atoe mpira miguu mwake.
Hakuna flow nzuri ya mpira yani ni tim inacheza hovyo hovyo.
Kocha nae kiazi tu ,bora Wolves kuliko Manchester United. Atleast wolves wanashambilia kwa mipango.

Aka katim Astana utasikia kamekutana na tim nyingine kamekula 3 . United tunashinda 1 tena kwa bahati.
Timu la vibaka na wala mirungi wa jiji la manchester
 
Nadhani timu hii inaweza kuwa surprise package kwenye UCL msimu huu ngoja tuwatazame na mechi zinazofuata.
Timu anayochezea bao chache kwenye ligi yao kushinda ni tatu.....sikushangaa kabisa genk kula sita wale jamaa ni hatari mno
Nakumbuka nusu fainali walicheza na lyon aiseee ile game waliomba mpira uishe
 
Mpaka muda huu Man UTD, nje ya wachezaji hawa De Gea, Wan Bissaka, Maguire, Bailly(huyu majeruhi yanamsumbua), Pogba, Daniel James. Waliobakia wote hawastahili kuanza kikosi cha kwanza. Hili ni tatizo kubwa ambalo tunalo.
 
Ndoa inasaidia Sana

Screenshot_20190920-103621__01.jpg
 
Fred vs Astana:
1 assist
Most passes (128/136)
Most final third passes (43/49)
Most ball recoveries (15)
Most chances created (3)
2nd most interceptions (3)

Do you think he deserves to start vs West Ham?
 
you play football with your head, and your legs are there to help you. If you don't use your head, using your feet won't be sufficient.

Why does a player have to chase the ball?
Because he started running too late. You have to pay attention, use your brain and find the right position. If you get to the ball late, it means you chose the wrong position, Bergkamp was never late.
(johan cruff)

binadamu ndiye anayekufa lakini maneno yake hayafi.
rashford anatumia zaidi miguu yake kuliko ubongo wake.​
1568966958187.png
 
Itoe tu hii picha mdau.....takataka hii
Yule dogo wa salzburg angekua muingereza
you play football with your head, and your legs are there to help you. If you don't use your head, using your feet won't be sufficient.

Why does a player have to chase the ball?
Because he started running too late. You have to pay attention, use your brain and find the right position. If you get to the ball late, it means you chose the wrong position, Bergkamp was never late.
(johan cruff)

binadamu ndiye anayekufa lakini maneno yake hayafi.
rashford anatumia zaidi miguu yake kuliko ubongo wake.​
View attachment 1211947
 
Back
Top Bottom