Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale ma captain wa liverpool ni wa spain mkuu
Makapteni wapi mkuu?

EPL baada ya Abramovic na Sheikh Mansour kununua timu upepo ulibadilika , angekuwa Sheikh Mansour amepata kocha mzuri ile ile 2008 ingekuwa balaa

Sasa wale wazawa wa Liverpool waliochukua MaUCL miaka hiyo hata sheria kwenye mpira hazijaongezeka isingekuwa

My point ni kwamba mpira wa leo ambao Investment ni kubwa kwa kubase kwenye uzawa utaishia kulia tu

Maana wakati wenzio wanachukua talents toka Africa,South America na Ulaya wakati huo huo wewe ukiwa unataka wazawa wa pale British isles basi toboa na hao wazawa wako tuone kama utatoboa
 
Mkuu MASAMILA umemkataa hadi trent?? mna nini lakin liverpool?
Waingereza wanaojua mpira ni mmoja mmoja sana, huwezi ukawa competent kwenye sekta zote kwa kubase kwenye race moja

Trent ana lack pace na uwezo mkubwa wa kumalizana na adui akiwa na mpira.


Robertson>>>Trent
 
Mkuu nakubaliana na wewe United hawataimarika kama watakuwa tu wanasajili sababu ya mtu kutoka Uingereza

Lakini je akiwa Muingereza na ana uwezo kuna shida gani kumsajili, je Sancho sio mzuri?
Why only Sancho ?

Wakati Winger za kushoto zipo nyingi

Utoboe mbele ya Man City ya Sheikh Mansour wanaosajili wachezaji wenye viwango regardless of nationality au Chelsea ya Abramovic ambayo nayo sio Club ya kizawa
 
Naona umekurupuka hadi mwenyewe umekosa jibu unatengeneza topic yako

Hizo picha nimeweka mtu mwenye akili timamu aniambie hiyo safu ya ushambuliaji inahitaji usaidizi wa web?

Mnapojibu vitu muwe mnatuliza akili Web bado ni refa?

Ronaldo anachukuaje uchezaj bora wa dunia kwa kubebwa na refa?
Kuna vitu vingine usibishe ilimradi tu kuna siri kuwa Refa Howard Web alikuwa na mapenzi binafsi na Ferguson na Manchester United,Ilifikiaa wakati mechi ya Manchester United akichezesha Howard Web utafungwa kivyovyote vile na kwa njia yoyote ile.
 
“He’s getting the chances,” Solskjaer said about Rashford. “Of course, he could have had three today. The ‘keeper made a few fantastic saves.”

“I don’t worry about that, no. We’re working every single day in training with Marcus. He wants to improve, wants to be better. He could’ve finished with his left instead of his right today. It’s just one of those days. I thought their ‘keeper was excellent.

“All the goals we’ve scored [in the Premier League] have come from the forwards with Marcus and Anthony, and Dan James. I’m sure they’ll chip in with many many goals.
“Marcus is still young, he’ll improve. You won’t hit your peak as a striker until you’re 26 or 27. He’s still learning what finishes to make in different circumstances.

“I think today’s forwards are different from old traditional number nines. There are not many left of them. Marcus can play all four positions – right, left, up front on his own and as a 10. Anthony can. Mason can. None are pinpointed to one position.
“You’ll see them rotated around.”
Siasa tupu.

Natural forward hafundishwi jinsi ya kufunga magoli.

Ole Out.
 
Man Utd hawataweza kufika level za Liverkuku.... Sorry, ni Liverfools

Unajua kwanini?

Kwa sababu United ni klabu kubwa duniani
You just add one year after another mpaka 30 years zinafika. Sahivi mpo mwaka wa 7 bado mingine 23.
 


Man Utd hii hii inayotaka wachezaji wa kiingereza tu ?

HAhahhah

Sasa hivi mnamfukuzia Jadon Sancho ukiuliza sababu watakuambia kipaji ila sio kweli jibu ni kwa sababu Sancho ni mzawa

Fuatilia confirmed pursuits za dirisha lililofungwa mwezi uliopita kama sio 100% English players ndio mliokuwa mnawatafuta

That said kwa kukumbatia uzawa hamna uwezo wa kupambana kiubora na Chelsea na Manchester City clubs ambazo zinataka wachezaji wenye viwango sio wazawa kama klabu yenu

Hata Pep akiondoka Clubs za kizawa za Manchester United na Liverpool hazitakuwa kiushindani kushindana na Manchester City labda sheikh Mansour aweke kocha garasa pale Etihad
Tatizo kubwa la United ndilo hilo.

Uingereza mwingi sana.
 
Hapo ni mbele tu tulikuwa tunamtegemea web

Bado kipa na wakina vidic hujataja ma scholes na ma giggs mnatia huruma hii mijadala ya soka kwenu migumu mmeteseka sana bado unakisingizio cha web? Au mpira ulikuwa unaangalizia live score na flash score kama ulikuwa unakwenda kutazama ungejua namna ronaldo alivyobeba tuzo ya uchezaj bora wa dunia na kwa nini alibeba kama refa alisaidia basi england raha
View attachment 1212180View attachment 1212181
Linganisha hawa na Lingard, Rashford na Martial.
 
Man Utd hawataweza kufika level za Liverkuku.... Sorry, ni Liverfools

Unajua kwanini?

Kwa sababu United ni klabu kubwa duniani
Kumbe ni ukubwa tu me nilijua ni klabu bora duniani aise. Yaan nyinyi ni kubwa jinga
 
Ktk makombe 13 rol uefa na club world cup huko kote na mech zote alikuwa akichezesha web hakika uefa na epl walitupendelea sana kama kila mech ilichezeshwa na web pia liverpool si timu ya kutisha liverpool ni spurs iliyochangamka
Mbona man u ni QPR iliyo baki kwenye Epl aise
 
Shaqiri,Origi na Keita hawana vipaji?

Halafu Rashford ndio ana kipaji?!! Mnavutia kwenu sana
Yaan lovren, keita, shaqir na orig,milner wakipewa nyumbu hata big4 wataingia maana hata wa kuwapiga benchi hapo nyumbu cjaona
 
Sasa si timu zote takataka tu ndo mana bakwambia liverpool timu inajituma kwa nguv lakin soka lipo manchester city
Takataka wakat anamwali mpk mda huu wa klabu bingwa ulaya ujifananishe na sisi utakuwa umepagawa
 
Huu utabir huwaga sishiriki na ktk post zangu sinaga majibishano ya namna hiyo ya kitoto mpira ni dakika 90 hamnaga maneno ya mdomo ungekuwa ndio hivyo mech mliyocheza na chelsea iliyofungwa na united nyie mmecheza nayo dakika 120 mlisubir had peneti nafikir umepata jibu hapo hata norwich kamfumua city
Umekimbia mada me sijazungumzia nani kamfunga nani au mim nimemfunga nani aise
 
Yaan lovren, keita, shaqir na orig,milner wakipewa nyumbu hata big4 wataingia maana hata wa kuwapiga benchi hapo nyumbu cjaona

Hapo walikuwa wote ujue sema nawaambia ukweli timu yenu ya kawaida sana ila mnaikweza mno

IMG_1185.JPG
 
Kuna vitu vingine usibishe ilimradi tu kuna siri kuwa Refa Howard Web alikuwa na mapenzi binafsi na Ferguson na Manchester United,Ilifikiaa wakati mechi ya Manchester United akichezesha Howard Web utafungwa kivyovyote vile na kwa njia yoyote ile.

Mech 38 zote anachezesha web? Hii kitu huwa inachekesha sana
 
Back
Top Bottom