Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

timu inabid ipigwe ili tujue tuna matatizo kibao leo naomba ata bahati uwe upande wa barca watufunge kisawasawa
Huwezi kuwa mshindani na kikosi na wachezaji wapuuzi kama wetu
Eti huyu young ni wa kumuongezea mkataba mpya kweli??, martial??? Eyi rashford nae anadai mshahara mkubwa shubamiit ungeseungese tu wanafsnya uwanjani
mkuu inaonekana wewe ni mgeni katika huu uzi?? mbona unayoongea wewe ndio yanayojadiliwa humu siku zote

of course tuna timu mbaya mbovu na haifai machoni kwa watu but huwezi ku offload eight or nine average players then ukapata eight or nine top players kwa wakati mmoja

kuwaondoa Smalling, Jone na Young kwa pamoja ni kitu ambacho hakiwezekani look Valencia na Darmian wataondoka wanahitaji replacement zao sasa imagine hao wengine waondoke maana yake msimu ujao tutahitaji wachezaji wasiopungua watano kwa nafasi ya ulinzi tu, sijui kama umenotisi concern yangu? tena kumbuka hiyo ni sehemu ya ulinzi tu
 
Wazee wa ma come back ya kufa mtu nimekuja kuchungulia humu wazimaaaaa

Next season mtataka tena mambo ya uefa yaeee Hahahah
 
Wazeeee wa ma comebaaaaaaack
255763313256_status_1fd07259fa274f089278621cef568544.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom