Manchester United (Red Devils) | Special Thread

At the moment

Kwa mechi ngapi zilizopita mkuu, kama ni miezi 2 tuna perform vizuri

Nadhani tume perform vibaya mechi 3 za mwisho

Lakini pia ulionekana kutoamini kabisa kama hawa wengine wanaweza kupoteza kwa kudhani fixtures zao ni nyepesi

Naielewa concern yako, lakini top 4 race is still open broo
The main problem is United perfomance at the moment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barca 5 manyua 0

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Jumatano usiku loading.....
tapatalk_1554668756694.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Nimeanza kufuatilia mpira zaidi ya miaka 20 ss... UEFA sio La liga wala EPL... Always timu ambazo haziko vizuri saana ndio hupata matokeo..
KUMBUKA MAN U YA 2008/09 ILIKUWA BORA MBELE YA BARCA LAKINI ILIFUNGWA KWENYE FAINALI..
GAME HII NAONA WAZI BARCA AKIPOTEZA KWA GOLI 2-0
Kwann nasema hivyo.. Uchezaji wa Barca ni rahisi kudhibitika hasa na Man u ukizingatia aina ya viungo wa Utd...
Ebu fikiria man U wakianza na HERERA, POGBA NA MATA... RASHFORD NA MARTIAL KULE MBELE.. unaona jinsi gani barca watalazimishwa kushuka na kutotembea kasi mbele.. hii itawafanya wafungwe..
KWANGU MM BARCA SAFARI YAKE IMEISHIA HAPO..
 
Unachekesha Sana wachezaji wa kiungo wote wa Manchester United hadi wa academy hawafiki hata robo ya uwezo wa Sergio busquets
 
Jumatano usiku loading.....View attachment 1065446

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mnatujazia uzi wetu na vitu vya kipuuzi..

Tuacheni tujadili mambo yetu ya msingi..

Watu jana mmefungwa na Everton na hamna hata away cleansheat hata moja mnazidiwa hadi na Huddersfield iliyoshuka daraja,,mnapata wapi nguvu ya kutusumbua kwenye uzi wetu??
 
Nimeanza kufuatilia mpira zaidi ya miaka 20 ss... UEFA sio La liga wala EPL... Always timu ambazo haziko vizuri saana ndio hupata matokeo..
KUMBUKA MAN U YA 2008/09 ILIKUWA BORA MBELE YA BARCA LAKINI ILIFUNGWA KWENYE FAINALI..
GAME HII NAONA WAZI BARCA AKIPOTEZA KWA GOLI 2-0
Kwann nasema hivyo.. Uchezaji wa Barca ni rahisi kudhibitika hasa na Man u ukizingatia aina ya viungo wa Utd...
Ebu fikiria man U wakianza na HERERA, POGBA NA MATA... RASHFORD NA MARTIAL KULE MBELE.. unaona jinsi gani barca watalazimishwa kushuka na kutotembea kasi mbele.. hii itawafanya wafungwe..
KWANGU MM BARCA SAFARI YAKE IMEISHIA HAPO..
Hao wote uliowataja watalazimika kuwa beki maana safu ya ushambuliaji ya Barca ni hatari fire

Messi, Suarez, Dembelè au Countinho ni shida pale mbele

nauhakika pale kati Bosquet na Rakitiç watadhibiti vizuri
 
Mi naomba Messi hasifanye kama alichokifanya De Lima 2003 hapo OT.

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom