Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] alba unaweza sema ni winga....
Kaitawala sanaaa left flank
Kaitawala sanaaa left flank
hizi dakika 4 zilizobakia acha nimuombe muumba wa kenge, panya, sungura, nyumbu, twiga na wengineo ajaalie jordi alba apunguze zile kasheshe zake kama ilivyokuwa mechi ya kwanza.